The wrong turn

You are wrong mkuuu, hakuna muasia hata mmoja aliya na cheo TRA, THA, PCCB, TPF wala usalama wa taifa, ni sisi wabongo wenyewe sasa kwanini tuwalaumu wao???
 
.

Sasa na wakenya wamewekeza zaidi hapa Tanzania, unasemaje?
 
Ukiachilia mbali ufisadi ,wahindi wana nyanyasa vibarua wa kitanzania sana.
Nadhani kijana aliyechomwa moto huko kigamboni ni mfano wa ukatili wa wahindi.ni watu waoga lakini wabaya sana.
 
Ukiachilia mbali ufisadi ,wahindi wana nyanyasa vibarua wa kitanzania sana.
Nadhani kijana aliyechomwa moto huko kigamboni ni mfano wa ukatili wa wahindi.ni watu waoga lakini wabaya sana.
 
You are wrong mkuuu, hakuna muasia hata mmoja aliya na cheo TRA, THA, PCCB, TPF wala usalama wa taifa, ni sisi wabongo wenyewe sasa kwanini tuwalaumu wao???

mtoa mada ana kansa ya ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…