ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
Ukitakakuoga ukubarikurowana wana jf tutafuteukweri tusifuateupepo mkumbo chanzo chavurugunini? nachangawatukushabikia vitubirakuangaria mbere tukubarikwasasausiangarie makosa tuangarie chanzo chahayomakosa iri yasijekurudiwa kuendereyakuhubiriamani kuwarundika watu mahabusu havitatusaidiya kwasasa msadamukubwa nimchakato katiba mpya tume huru yauchaguzi kuwekawatumaabusu nikuendereza vurugu
Post iliyoandikwa vibaya zaidi ya hii hapa JF haijawahi kutokea.
Siyo mbaya hii post ikitangazwa rasmi kuwa ni the worst post of the year.
Origanally from https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/92361-mbunge-ccm-akataliwa.html
Mkuu hii post ni second to none aiseePost iliyoandikwa vibaya zaidi ya hii hapa JF haijawahi kutokea.
Siyo mbaya hii post ikitangazwa rasmi kuwa ni the worst post of the year.
Origanally from https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/92361-mbunge-ccm-akataliwa.html
te te te te te hii itakuwa ID ya member aliyekuwa anajiita Nyivondumar sir alipigwa ban ya maisha
Mkuu hii post ni second to none aisee
Umeielewa ulipoisoma? maana mie sijaelewa kitu
The worst post of the year!! Ubaya wake nini mkuu, ujumbe, lugha au uandishi? Mimi naona ujumbe unaeleweka sema tu jamaa ameathirika sana na lugha yake halafu sio mzoefu wa kuandika. Inavyoonekana ilimchukua muda mrefu sana kukamilisha hiyo kazi, mpe pole 🙂
Lazima alikua Mkurya huyu!
ha ha ha....nimekutana nae anakusalimia sana.....kasema zile hela zake anakudai mbona humlipi?
Yaani post zote za Malaria Sugu na vichaa wenzake zimeipita hii?
Siamini.
Mkuu mnasemea Nyondoloja au??? yani apa nishavaa mawani mpaka basi!?:teeth:Mkuu hii post ni second to none aisee
Umeielewa ulipoisoma? maana mie sijaelewa kitu