Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,630
- Thread starter
- #21
Duh
Nimeosha macho kidogo haya ni maisha ya wenzetu siye wengine Panadol tu mawazo tele ukija kwenye hayo mambo unaishia kumeza mate tu, sio kwamba hupendi ila hali tete. Power tiller yenyewe hujamiliki itakuwa haya ya more money.
Kila mtu na levels zake bosi, ila ukifight utakuwa nayo tu