Mkuu huo Mtandao hauwezi kuelezwa kwa Jina moja tu japo kuna kujukuu kimekomaa kujiendesha kibishi bishi kimo kwenye orodha ya forbes...
Rothschild ni kubwa kuliko maelezo... kwani utajili wake unashikiliwa na hao hao mabillionea kweny hizo list za forbes Ukisikia IMF ukisikia Central Bank Dunia nzima umegusa roho ya Rothschild Even UN wao ndio Waasisi so unaweza ndio walinunua ardhi ya Palestine kuanzisha Taifa lake kuimagine uwezo wao hautakiwi kuzungumziwa kirahisi kama pesa za kina Bill gates.... Taasisi ya Illuminant Freemason ndio hutoa ma billionaire kwenye kila Nyanja kupitia kitu kiitwacho scholarship dunia nzima huchukua best student na kuwatrain na kuwafanya ma billionaire tunaowajadili humu