Traffic Police wa Ufillipino akiongoza traffic katikati ya mitaa ya Manilla wakati huo huo akicheza soundtrack ya Michael Jackson - Billie Jean! Police huyu amekuwa kituko katika jiji la Manilla, akiacha mshangao mkubwa kwa watu mbali mbali wakiwamo: watoto, vijana pamoja na watu wazima.
Hivi police wa hapa Bongo anaweza aka kata mauno mitaani kama huyu ndani ya sare za kazi na akasalimika kweli?