THE WORLD IS FULL OF UNCERTAINTIES

THE WORLD IS FULL OF UNCERTAINTIES

kotapini

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
99
Reaction score
183
Hii dunia siyo yetu ndio tunapita tukiwa watupu kama tulivyozaliwa, hakuna aliye mkamilifu na kaburi ndio ukamilifu wa mwanadamu,
1) Nani alijua Mr President Magufuli angekuwa Raisi wa Tanzania?
2) Nani alijua Mama yetu Samia angekuwa Raisi wa Tanzania?
3) Nani alijua Philipo Mpango angekuwa makamu wa Raisi?
Mifano ipo mingi na hii inatufundisha kukumbuka kuhifadhi maneno, siyo kila kitu unaweza ukasema) ndio Babu yangu alinifundisha jambo hili nanukuu; kama unampenda mwanamke na huwezi kumuacha kutokana na makosa yake usije kumuambia mtu yoyote makosa yake, maana watakushangaa kwa kuendelea kuwa nae. Jifunze kuwa kimya, matatizo ya nchi yetu tunavyoyaexpose ni sawa na matatizo ya mke wako, majirani watakushangaa maana huna njia nyingine, ya kumuacha Jembe Tanzania,
Muda haukuwahi kudanganya, life is full of uncertainties, tujifunze kila mara Tanzania ni yetu sote, msifikiri hali ngumu ya maisha inasababishwa na Samia,
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
Kotapini
(you can't see my struggle you will see my trouble)
 
Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti
Kotapini


Kama hujatukana basi jibu maswali haya;

Mkakasi ni kitu gani??, ndani ni ndani ipi??, na kipande cha mti ni "mti" gani huo??, kotapini ni kitu gani au jina gani??


(you can't see my struggle you will see my trouble)

Ooo yes, right here we see and feel your troubles.
 
Back
Top Bottom