Unajua hata ulichokiandika hapa umejuaje kuwa ni greater na umesema hai exist bali is through experience.Laws za sayansi hazinikubalii kufanya hivyosababu earth's gravity is far greater than that of the ball.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa imagine uko kwenye container ambayo ni dunia na inazunguka na kukimbia at a constant speed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni time-lapse photograph at the north pole, na ni proof kwamba dunia inarotate.
NB: Hii picha imepigwa na photographer tu sio NASA.View attachment 1338368
Sent using Jamii Forums mobile app
Newton's gravity theory explains y things naturally fall, sasa kama unabisha hakuna gravity maana yake unabisha kwamba vitu haviangukiUnajua hata ulichokiandika hapa umejuaje kuwa ni greater na umesema hai exist bali is through experience.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkumbuka Bushma wa Kwenye sinema ya THE GODS MUST BE CRAZY 1.Hizi ni assumptions.. sio proof mheshimiwa.. au kichwa kizito huelewi??
Nieleze kwanini mawingu yanayobeba tones of water na hayadondoki ila kikombe ukiweka maji ukayarusha juu yanadondoka,je ni nini kimeshikilia yale mawingu?Newton's gravity theory explains y things naturally fall, sasa kama unabisha hakuna gravity maana yake unabisha kwamba vitu havianguki
Sent using Jamii Forums mobile app
Therein lies the problem.
Therein lies the problem.
Kweli sikusoma fizikia ya darasani ila nimesoma fizikia ninayoitumia katika maisha na ndio maisha yangu ya kila sikuMkuu unachanganya mambo sana sana huenda hujasoma physics ukaelewa kabisha hasa kwenye hilo suala la ndenge na mambo ya satelite na mawasiliano.
Mpaka sasa kusafirisha mawasiliano kwa njia ya satelite kwa speed kubwa technology haijafika huko ndiyo maana ukitaka internet yenye kasi lazima tutumia mkonge. Ila taratibu gunduzi utatufikisha huko kama ilivyo science inapitia mabadiriko.
linapokuja suala la ndege nimecheka nikakumbuka yule sheikh aliyesema kama dunia ingekuwa ina rotate basi helcopter ingeganda hewani baadaae ikajikuta nchi nyingne. hakujua kuwa dunia inarotate na kila ilicho nacho mfano. Uwe kwenye basi linalokimbia halafu ruka juu huwezi jikuta nyuma utatua pale pale uliporukia. hata nzi anayepaa kwenye gari linalotembea akiganda hewani hawezi jikuta nyuma bali atabaki pale pale
Umeiona dunia ikizunguka?Globe earth believers has no conspiracy
Unaona kuwa unachanganya mambo.. maana ya maji ni uhai siyo kwamba ukanywe maji, maana yake ni kwamba asilimia kubwa ya mwili wako ni maji yakipungua umeondoka. Viume vyote asillimia 99 vinategemea uwepo wa maji kuishi yasipokuwepo vimeondoka na wewe utakosa chakula utaondoka...Kweli sikusoma fizikia ya darasani ila nimesoma fizikia ninayoitumia katika maisha na ndio maisha yangu ya kila siku
Shida sio 1 kujumlisha 1 ni mbili
shida hiyo moja umeitoa wapi?
Umejumlishaje?
Usilinganishe hesabu za darasani wakati wanafanya vitu reality na mambo yakule darasani yakufanyia hayafanani kabisa katika misingi
unapoambiwa maji ni uhai kisha unakuta mtu mtaani yeye hatumii maji kabisa na unaona kawaida ni ubwege wakiwango cha phd kabisaaaa
yaaani kwa fizikia uliyoisoma wewe darasani unashindwa kujiuliza kwanini katetemeko ka ardhi kenye eneo dogo sana kulinganisha na speed ya dunia unaweza kuihisi lakini ile speed kubwa hauihisi?
hebu leta hesabu zako za darasani hapa tuone kama zinaweza kuendana na uhalisia ambao sisi tunautaka katika maisha ya kila siku
kilimo cha matikiti maji kwa katika karatasi ni utajiri mkubwa mno sasa hebu ingia shambani ukapate ukweli wake kama ni pesa ama sio pesa
nyie ndio mliamini mkisoma sana mtakuwa maraisi na marubani\]
++ck Off
Time lapse maana yake camera imepiga picha nyingi kwa interval, say after every 5min. Nyota zimetembea sababu ya mzunguko wa dunia.
Ebu elezea hii observation.Umeiona dunia ikizunguka?
Je tangu ianze kuzunguka speed imeongezeka au imepungua?
Na kipi kinachofanya ipungue na kipi kinachofanya iongezeke hiyo speed?
Hata hizo pics/videos zao za nje ya dunia ingetakiwa tuone ikizunguka kwa hiyo speed. Maana ndani mnasema hatuihisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenda space ni jambo lingine kabisaa na mwezi ni luminescent circle inayo glow sasa hao waliotuwa miaka ya 60 kwanza ni uwongo pili wanashindwa kurudi kwanini ila mars na Saturn wakombioni kwenda huu si ukichaa kabisa.Mwezi na sayari nyingine huonekana vipi huko angani. .jinsi tunavyoziona ndivyo dunia yetu pia ilivyo,dunia ni kubwa kuliko vile mawazo yetu yanavyodhani 'yaweza kuwa flat ama sio...lakini ukitazama live space ya nasa dunia inaonekana duara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse tafuta live video ya hiyo picha yako uiangalie.Time lapse maana yake camera imepiga picha nyingi kwa interval, say after every 5min. Nyota zimetembea sababu ya mzunguko wa dunia.
- Labda unaweza nielezea hiyo consept ya polarization unayoisema. Unamaanisha magnetic activities au?
Sent using Jamii Forums mobile app