The World is a flat plane and not a globe

unakana macho yako ukiona uhalisia ila unakubali macho yako ukiona kwenye kitabu ama runinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona unafananisha mlima, ambao ni sehemu ya dunia, na chupa ambayo si sehemu ya meza?
Hapa naona kuna tatizo, mnaposema kitu fulani ni sehemuya kitu fulani uwa mna maanisha nini ?

Nijuavyo mimi, kitu fulani kikiwa ni sehemu ya kitu fulani, kitu cha kwanza bila shaka kimetokana na kitu cha pili. Kama hivyo ndivyo, je ni kweli milima imetokana na Dunia na kipi kilianza Dunia ( Ardhi/Uso wa dunia) au Milima au ni ipi kazi ya Milima kwenye dunia ?
 
Jibu swali kwanza.

Alafu maelezo yako yatafuata,unaanza kujitetea mapema.

Kama jua lingekuwa kubwa kuliko dunia basi tusingekuwa na sehemu zenye badiri kali na jua chache katika majira ya mwaka.

Jua ni dogo dunia ni kubwa.ndio maana miale ya jua hufika kwa tabu baadhi ya sehemu za dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sielewi utopolo ni nini ?

Nimekuuliza kwako wewe marejeo ni nini ? Mathalani unaposema Dunia duara au labda Hakuna Mola muumba, huwa una rejea wapi ?
Utopolo ni kitu cha kijinga

Kwanini marejeo yawe kitu cha msingi sana?

Hayo marejeo unayahakiki vipi kua ni kweli kabla ya kuyakubali?
 
Sasa mtu akikuambia kua ana marejeo yanayo support arguments zake katika kuran ambayo wewe unasema haijasema hayo madai binafsi utasemaje?
 
Sasa mtu akikuambia kua ana marejeo yanayo support arguments zake katika kuran ambayo wewe unasema haijasema hayo madai binafsi utasemaje?
Mimi nimesema wapi kuwa hayo ni madai binafsi.?

Kama umetolea mfano basi neno madai binafsi litoe tafuta neno nililosema mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utopolo ni kitu cha kijinga

Kwanini marejeo yawe kitu cha msingi sana?

Hayo marejeo unayahakiki vipi kua ni kweli kabla ya kuyakubali?
Naona unauliza swali sehemu uliyotakiwa kujibu swali, sasa nani anapaswa ajibu swali.

Naona sasa kama marejeo sio muhimu kwanini ulitaka nikupe marejeo ? Nakukumbusha tu Marejeo ni kwa Kiswahili kwa Kiingereza ni "Reference".

Dogo huelewi jambo unavamia vamia tu, hata umuhimu wa marejeo huujui halafu unataka marejeo mwisho wa siku kwa ujinga wako unajipinga. Kijana tuliza akili.

Marejeo hupimwa na hali halisi, ambayi ni UKWELI wenyewe. Sababu swali langu hujajibu na mimi nimekujibu maswali yako kuokoa muda sababu najua huna unalo lijua katika hili na mfano wako, navunja misingi yako ili ujibu maswali yangu.

Nacho kukumbusha tu ukiwa unajadiliana na mimi, hakikisha una kumbukumbu nzuri.

Tuendelee ....
 
Sasa hapo tumia akili yako sawa sawa.

Unadhani ulipewa akili burebure mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapa tayari ushatumia akili yako vibaya

Mimi sikupewa akili bana nimezaliwa nayo

Inawezekana kweli humu kuna wadau walipewa akili ila walipoanza kusema dunia ni flat wakaporwa
 
Mimi nimesema wapi kuwa hayo ni madai binafsi.?

Kama umetolea mfano basi neno madai binafsi litoe tafuta neno nililosema mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kuelewa nilichoandika

Hiyo binafsi nimemaanisha imekulenga wewe sio mimi

Wewe binafsi utafanyeje?
 
Youtube ni media stream ya video sharing worldwide ,ni sehemu ulimwengu wote unaweza kuaccess video ya mtu yeyote aliyeupload

Mf.kuna watu wanafanya daily expeditions pengine za hatari au za utafiti lakini wanataka dunia ijue ,so wana upload hapo pengine wakipata host kwenye channel ya tv sio wote wataona

Ni global video sharing site ila facebook kwasababu ni mwenyeji na umeona picha ulizokuwa unatoa huko unaleta hapa ushaelewa ni sehemu gani.

Na fb iliitwa facemap kabla kwahiyo jiongeze.

Halafu angalia hiyo video na utulize kichwa.
Nakukumbusha kua kuna muda uliniambia kua "unatumia facebook"

Kwaiyo wewe utopolo wa youtube ndo chanzo sahihi kilichokufanya ukawa flat earther?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mpaka hapa tayari ushatumia akili yako vibaya

Mimi sikupewa akili bana nimezaliwa nayo

Inawezekana kweli humu kuna wadau walipewa akili ila walipoanza kusema dunia ni flat wakaporwa
Kupewa nilikokusudiwa ni kuzaliwa nayo.

Huwenda wewe ndo jmetumia akili yako vibaya kwa kutoelewa maana ya kupewa nilikusudia kupewa kupi.

Kuna watoto wanazaliwa hawana akili kama za watu wengine yani wako tofauti(machizi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…