Kaka nakubaliana na wewe hayo yote ila kwenye umbo la dunia na kinzana na wewe.
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.
mkuu kama una hio video itupie basiKuna video moja ilionyesha hili ilichukuliwa na mabaharia sijui ni wa nchi gani. Walionyesha vilevile mwezi ukionekana mpevu na mkubwa na upande mwengine kwa mbali kabisa nalo Jua likionekana ile umefika kwenye bahari yenyewe huoni chochote si mbele wala nyuma si kulia wala kushoto zaidi ya maji tu.
Upande wa Jua wingu likiwa na mwanga huku upande wa mwezi ukiwa na mwanga kidogo (giza kiasi). Jua na Mwezi vilionekana sawa na clip uliyoiweka inayoonyesha Jua na mwezi zikiizunguka Dunia. Nilishangaa sana!
Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.
Naitafuta You Tube. Niliiona 2018 nikiipata naiweka.
Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.
Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.
Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.
Unaujuaje uhakika wa hicho kifaa na matokeo yake ?Au tafuta camera au telescope ya P9 mkuu nenda baharini fungua app ya weather angalia mda huu kuna humidity kiasi gani kama ni ndogo anza kuvuta umbali kama kulikuwa na meli ambayo hata kwa darubini hukuiona ukijua curvature halafu ukaiona usione ni miujiza.
Hahaha huyo jamaa na wenzake waliomuaminisha ni wehu.Gravity wanaielezea hivi
Kwakuwa upo Kwenye flat disc inaaccelerate upwards with an acceleration of 9.8m/s2. Hii inatengeneza illusion ya kuwa unavutwa chini Kumbe earth ndo inaenda juuAlthough kusema ukweli HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers wengi hata hawaamini flat earth lakini ni clout chasers tu
Kuna wajinga ni mashabiki wa Sayansi, ndio huwa wanadanganyika na mastory ya Wanasayansi.Nani kaenda mwezini ,mwezi ni kama illuminary object ukiwa na p9 camera unauona kama kioo flani hivi au gololi ya transparent yenye rangi ya pale light grey...ngoja nikupe picha ya hawa jamaa wanavyotuactia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hapoKuna wajinga ni mashabiki wa Sayansi, ndio huwa wanadanganyika na mastory ya Wanasayansi.
Nipe faida kaka.
Unaamini kwamba straight line inagusa point katika cycle??Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali ila ndo ghali na yenye kuona miles nyingi sana.Unaujuaje uhakika wa hicho kifaa na matokeo yake ?
Unakubali kama hiyo Camera ina ukomo wake ?
Kwahiyo hoja yangu bado ina nguvu katika hilo au una kataa ?
Kwa kuzingatia nini na nini ?
Nachokueleza ni kuwa huo umbali ambao unaweza ukapata curvature na usione kitu kwa nadharia ya kuwa dunia ni tufe ni kuwa p9 camera inaona umbali zaidi ya hiyo nadharia na vitu unaviona mfano kila mile 1 ina mkunjo wa inch 8 progressively sasa watu washaona picha umbali wa mile 57 na hakuna curvatureKwahiyo hoja yangu bado ina nguvu katika hilo au una kataa ?
Kaka hili unaweza kulithibitisha au kama una picha tuonyeshe humu.Nachokueleza ni kuwa huo umbali ambao unaweza ukapata curvature na usione kitu kwa nadharia ya kuwa dunia ni tufe ni kuwa p9 camera inaona umbali zaidi ya hiyo nadharia na vitu unaviona mfano kila mile 1 ina mkunjo wa inch 8 progressively sasa watu washaona picha umbali wa mile 57 na hakuna curvature
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hili unaweza kulithibitisha au kama una picha tuonyeshe humu.