God is not unjust; he will not forget your work and the love you have shown him as you have helped his people and continue to help them. - Hebrews 6:10
There is thin line between personal behaviour and altitude
And Potential Public Leader (he wanted to be President)
Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax
Peleka hii kwenye Jukwaa la DiniGod is not unjust; he will not forget your work and the love you have shown him as you have helped his people and continue to help them. - Hebrews 6:10
Kwahiyo Slaa ni mtume au nabii kwako au siyo? kuna nabii aliishi kwa kudanganya wewe acha kuwa zobe?
Inshallah....Allah atakulinda...atakuepushia na MASHEIKH TWAIN Dr. wa ukweli.
Inshallah....Allah atakufanyia wepesi kwenye shughuli zako
Alhamdulilah wa bilalamin innallah fimnurku rizki mantashallah
Yap God is not unjust,
Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema
Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake
Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...
list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...
hao mafisadi wanaomtumia ni nani? just curious
Kamwambie baba yako makamba aende akapewe maombi na jk kwakuendelea kuwatundika watoto wawatu mimba, mlaaniwe nyiye mnao mponda mtetezi wa taifa hili DR slaa god be blessing him
Yap God is not unjust,
Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema
Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake
Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...
list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...
utumbO
Yap God is not unjust,
Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema
Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake
Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...
list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...
There is thin line between personal behaviour and altitude
And Potential Public Leader (he wanted to be President)
Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax
Umeguswa kwenye ini na ukweli..pole nabii wenu ni mchafu sasa sisi tufanyeje? mleteni nabii mwingine msafi tutaelewana tu.
god is not unjust; he will not forget your work and the love you have shown him as you have helped his people and continue to help them. - hebrews 6:10
Mkuu achana na Tropical huyu ana kansa ya ufahamu!Typical TOPICAL at work!
Kama unajua sana madhambi ya watu unaweza ukatuwekea hadharani madhambi ya mzee JK pia??
Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.Kuna kipindi wakenya walitamani Lyatonga bora angezaliwa kwao ili awatumikie kuliko tulivyokuwa tuna mistreat wakati anapigania Taifa lake. Hizo zilikuwa enzi zile za NCCR-Mageuzi kweli kabla hawaja mchakachua! Leo Dr. Slaa ana struggle kututoa mikononi mwa mafisadi ambayo yanatumia kila mbinu kumdhoofisha lakini Mungu anamlinda!
Naamini siku si nyingi lazima juhudi zake zitajibu! Peopleeeeees Poweeeeer!
Inshallah....Allah atakulinda...atakuepushia na MASHEIKH TWAIN Dr. wa ukweli.
Inshallah....Allah atakufanyia wepesi kwenye shughuli zako
Alhamdulilah wa bilalamin innallah fimnurku rizki mantashallah