The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,562
3,896
1553671739780.png
 
Ni kweli haina tofauti na Magomeni
Tuki stretch kuanzia Magomeni Mataa hadi Mapipa yote mpk karibia na Jangwani
Uje Usalama, uende Mikumi mpk Kanisani then uishie Magomeni Morocco Hotel

Kunafanana, hakuna cha ziada kwny picha hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yenyewe magomeni iko karibu kufikia Westland's kwa majengo,barabara zote hizo
tapatalk_1553680380176.jpeg
tapatalk_1553643258090.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni mnaolinganisha Westlands na Magomeni mnafaa kupimwa akili, Magomeni nimeishi tena maeneo ya pale Usalama napajua vizuri sana.
Haya hapa chini madubwasha ya Westlands ambayo inafaa yenyewe ianze kushindana na Dar yote

CtRUqK8XYAEdRzD.jpg
 
Mzee mzima na ww, kula kwako kwa chumvi kote bado unaleta render kuaminisha uzuri wa eneo hilo, acha zako bana

Halaf Magomeni now has got a building lenye urefu wa 22 floors, onyesha Westland lenye urefu wa floors hizo

Tihahahhaaaaa leo nimeamini you have no idea how Nairobi looks like. The tallest building in East and Central Africa is in that picture at 43 floors......
 
Jameni mnaolinganisha Westlands na Magomeni mnafaa kupimwa akili, Magomeni nimeishi tena maeneo ya pale Usalama napajua vizuri sana.
Haya hapa chini madubwasha ya Westlands ambayo inafaa yenyewe ianze kushindana na Dar yote

CtRUqK8XYAEdRzD.jpg
Dar es salaam msiichukulie poa, ni kubwa sana yaani kubwa sana kuliko Nairobi
DAR 2.jpg
Dar es Salaam.jpg
 
Back
Top Bottom