The Volkswagen Aqua " just Amizing!"

Huyo bora alivyopigwa stop, ulisikia hoteli ipi Tanzania inabadilisha mafuta yaliyokwisha tumika? Bado hatujafika huko.
Hoteli kubwa zote zinatupa mafuta yaliotumika kama movenpick,Kempeski e.t.c. najuwa wewe hutaliunga mkono kwakuwa itaingilia biashara ya waarabu majirani zako K'koo kina Nahdi na Bahashwani hahaha!
 
ni wakati sasa wakuanzishwa shule zenye mlengo wa kuendeleza vipaji vya watoto, hapa serikali haiwezi toa ufumbuzi labda karne ijayo.
 
ni wakati sasa wakuanzishwa shule zenye mlengo wa kuendeleza vipaji vya watoto, hapa serikali haiwezi toa ufumbuzi labda karne ijayo.

hehehehe kama THT ...
 
Real amising!
 
Muda wa udaku JF unao? Kama huna muda Tanzania basi hutopata muda kwingine kokote, unafikiri huko nje ya Tanzania mikate inawadondokea na hawaendi kuitafuta? Unanchekesha!
faizfoxy dada yangu kumbuka tz inasifika kama nchi ya amani lakini unajua hiyo amani inayomaanishwa hapo? kwa kifupi watanzania wamejengewa nidhamu ya uoga.ila ipo siku hiyo amani wataikataa na kudai haki.
 
hapa Tz wapo watu wanabuni vitu, tatizo ni urasimu na "umimi", thats why hatuendelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…