Hvyo vyote ulivyotaja ni hazina ya Kagera,umenikumbusha mbali sana mkuu,cha kusikitisha zaidi vitu hvyo vingi vimetoweka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa/tabia nchi.Wakola muno kyoma

[/QUOTE]Aaaah Mzee na Kagera yenu Tutawachoka sasa.....
Kila kitu hazina ya kagera mbona vitu hivyo vipo mikoa mingi tu.....tena kwa wingi.. Ila Leo hii eti hazina ya kagera....