Hakuna Makamu wa Rais chini Marekani ambaye amekuwa powerful kama Dick Cheney katika historia ya Marekani. Habari za kuaminika ni kuwa Bw. Cheney amekuwa indicted yeye pamoja na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo Alberto Gonzalez. Na indictment yenyewe inahusiana na Criminal Activities.
My Take:
Serikali ya JK nayo inatakiwa kuacha usanii wa kuwachezea watanzania kuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya BWM na mafisadi wenzake. Kama Tanzania inaongozwa kwa utawala wa kisheria basi JK aache sheria ichukuwe mkondo wake bila kuwakingia hawa mafisadi. It's time to get up and act, NO NONSENSE.