The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

Mekatilili

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
1,613
1,383
I find this perturbing; the vast majority of Tanzanians can only speak one language, Kiswahili. A Tanzanian friend called John David (yes, many Tanzanians have two English names) explained this situation as a repercussion of the country's socialist past. Nyerere discouraged the learning of local languages and imposed the coastal language, Kiswahili, on the nation.

The vast majority of Kenyans and Ugandans are multilingual yet Tanzania holds a perculiar distinction; East Africa's largest majority unilingual country.

Are there any steps being taken to protect your heritage?
 
Sio kweli, tatizo hili ni kwa majiji makubwa tu kama ilivyo Kenya. Mchanganyiko wa watu ndio unatishia lugha za asili (ambazo ni muhimu kuliko Kiswahili).

Kuhusu majina, hata kuwa na jina moja la kigeni kwa Mwafrika ni wazimu mkubwa. Saratani hii ipo Afrika yote (ikiwamo na Kenya) ya kutumia jina la kwanza la Kizungu/Kiarabu halafu la pili la kabila husika. Kwenye hili Wayoruba wa Nigeria na Waafrika Kusini wanajitahidi kutumia majina yao.
 
"Tanzanians have two English names...."i don't know why but I had asked myself this question a couple of times after watching a Tz movie and reading on the Casts names. Very awkward.
 
I find this perturbing; the vast majority of Tanzanians can only speak one language, Kiswahili. A Tanzanian friend called John David (yes, many Tanzanians have two English names) explained this situation as a repercussion of the country's socialist past. Nyerere discouraged the learning of local languages and imposed the coastal language, Kiswahili, on the nation.

The vast majority of Kenyans and Ugandans are multilingual yet Tanzania holds a perculiar distinction; East Africa's largest majority unilingual country.

Are there any steps being taken to protect your heritage?
Vast Majority of
Kenyans
Rwandans
Somalis
South Africans
Burundians
South Sudanese are multilingual
 
"Tanzanians have two English names...."i don't know why but I had asked myself this question a couple of times after watching a Tz movie and reading on the Casts names. Very awkward.

And your name is Lewis? Wengi wanatumia jina la kwanza la Kizungu/Kiarabu na la pili la nyumbani. Ugonjwa huu ni kama kwenu tu, mtu akitumia jina la Kizungu ndio anaonekana ameendelea kumbe amekuwa brainwashed.

Ndio unapata akina McDonald na Wycliffe weusi.
 
I find this perturbing; the vast majority of Tanzanians can only speak one language, Kiswahili. A Tanzanian friend called John David (yes, many Tanzanians have two English names) explained this situation as a repercussion of the country's socialist past. Nyerere discouraged the learning of local languages and imposed the coastal language, Kiswahili, on the nation.

The vast majority of Kenyans and Ugandans are multilingual yet Tanzania holds a perculiar distinction; East Africa's largest majority unilingual country.

Are there any steps being taken to protect your heritage?
Wewe mzungu koko kamwe hauwezi kuwa mwingereza hadi siku unakufa. Utabaki hivyo hivyo ulivyo; hujielewei. Pole sana.
 
Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
 
Ni nchi gani duniani imeedele kwa kuwa multilingual, China, Japan, France, German, UK, Brazil etc.. How do you unify your people kila mmoja anajifungia kwenye ukabila kwanza halafu nchi baade.

Every single one of those countries is majority multilingual with high levels of proficiency in second and third languages.

There is a stalk difference between being majority multilingual and being majority unilingual like Tanzania. You are like the insular Arabs and North Koreans in that respect.
 
Hii ni mchanganyiko wa mila na desturi katika maisha,na ndiyo transformation yenyewe, mambo mengine huwezi control, hivyo naming itakuwa inachange hadi tutakapoanza kuwapa watoto wetu majina ya kichina, na kikorea maana sio kwa tamthilia zile
 
Hiyo transformation kwa nini wazungu na waarabu hawatumii majina ya Kiafrika? Waafrika akili mbovu tu hamna kujitetea katika hili.
 
And your name is Lewis? Wengi wanatumia jina la kwanza la Kizungu/Kiarabu na la pili la nyumbani. Ugonjwa huu ni kama kwenu tu, mtu akitumia jina la Kizungu ndio anaonekana ameendelea kumbe amekuwa brainwashed.

Ndio unapata akina McDonald na Wycliffe weusi.
kwa mKenya ni kawaida jina la kwanza liwe la kiingereza. ukisoma historia utapata kuwa wengi walikuwa lazma wawe na jina moja la kiingereza (baptismal name) wakati wa ukoloni kwa kuwa wakoloni walipata wakati mgumu kuwataja kwa majina yao ya kiafrika. jina moja la kiingereza linatosha
 
Bado ni wazimu huo, mbona wazungu hawatumii majina ya Kiafrika? Watu mmepumbazwa mnaona ni kawaida kutumia majina ya kigeni wakati ni uzwazwa wa hali ya juu.
 
Wazimu zaidi ni pale tu unapotumia majina mawili ya kiingereza... kama ilivyo kwa watanzania wengi. jina moja linatosha
 
Hahahaa language? I speak Kiswahili tena kile halisi cha Pwani, British English, Arabic- الغة لعربية, Kinyagatwa na Kindengereko na ninajifunza Kifaransa. So what is your point mtoa mada? Tunajua sana lugha zetu sema tu huku mijini hasa katika miji mikuu hatuzungumzi sana lugha za asili. Mfano mimi ni mtu wa Pwani, niko huku Usukumani ninajifunza pia Kisukuma.

Wabheja sana.
 
Wazimu zaidi ni pale tu unapotumia majina mawili ya kiingereza... kama ilivyo kwa watanzania wengi. jina moja linatosha

Narudia tena, kutumia hata jina moja la kigeni ni wazimu, Watanzania wengi wanatumia jina moja la kigeni na lingine la nyumbani kama Kenya. Achana na mambo ya filamu maana hayatoi picha halisi.
 
Every single one of those countries is majority multilingual with high levels of proficiency in second and third languages.

There is a stalk difference between being majority multilingual and being majority unilingual like Tanzania. You are like the insular Arabs and North Koreans in that respect.

Your statement doesn't make sense at all, if you go to Japan on the street level you'll struggled to get people who speaks English or French, or even language from the country next to there's. Same as Russian, Brazil, Tuvalu etc..
 
Back
Top Bottom