The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

Brother did you do any research before posting? or you just relied on your friends idea!?

To answer your argument, it's not as you say! Most Tanzania speak their vernaculars especially in rural areas!

And for your information, in rural Tanzania, which occupies large proportion of the country, Vernacular is their first language followed by swahili, no English there except at schools!

Forged about the urban where people tend to be westernized!

Nikukumbushe kuwa Tanzania tuna 126+ tribes so mjini ambako watu hukutana wa makabila tofauti lazima waongee kiswahili cha kuwaunganisha!
 
Ladba utufafanulie lugha zao za taifa ni ngapi?? Mwananchi wao akienda mahakamanki hakimu anatumia lugha ghani?? Au chumba cha upasuaji??
Ngoja nikupe mfano rahisi kutoka Ujerumani.

Huwezi kwenda Ujerumani ukakuta hata alama ya barabarani imeandikwa Kiingereza. Lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka PhD ni Kijerumani (isipokuwa kwa masomo ambayo wameweka wazi yatafundishwa kwa lugha nyingine), lugha ya mahakama, sheria, serikali, bunge ni kijerumani.

Kwa ufupi ni nchi moja tu Huko Ulaya ambayo wanaongea Kiingereza kama lugha yao kuu, nayo ni Uingereza.

Kutokana na muingiliano mkubwa ulaya wajerumani inawalazimu wajifunze lugha zaidi ya moja ili waweze kuwasiliana katika mambo ya biashara n.k, hivyo kiingereza kinaongewa pale tu kinapohitajika.

Huwezi kwenda kwenye mgahawa pale Stuttgart halafu muhudumu akakuuliza unahitaji nini kwa Kiingereza, hilo sahau. Maeneo mengine kama huongei Kijerumani haupewi huduma.

Na hivyo hivyo kwa nchi zote zilizoendelea, iwe Japan, Urusi, Uswidi au Uholanzi.

Sisi huku Afrika na akili zetu za kitumwa tunadhani kuongea sana lugha ya kigeni ni kustaarabika, na ndio maana wamefanikiwa kututawala kifikra.
 
huyo jamaa tupo nae hapa jf kwa siku nyingi.anapenda kujipambanua kuwa ni mkenya kwenye mijadala inayohusu kenya vs tanzania.

jambo la ajabu ni kwamba hawezi kuandika hata paragraph moja kwa kiswahili.
 
Ngoja nikupe mfano rahisi kutoka Ujerumani.

Huwezi kwenda Ujerumani ukakuta hata alama ya barabarani imeandikwa Kiingereza. Lugha ya kufundishia kuanzia chekechea mpaka PhD ni Kijerumani (isipokuwa kwa masomo ambayo wameweka wazi yatafundishwa kwa lugha nyingine), lugha ya mahakama, sheria, serikali, bunge ni kijerumani.

Kwa ufupi ni nchi moja tu Huko Ulaya ambayo wanaongea Kiingereza kama lugha yao kuu, nayo ni Uingereza.

Kutokana na muingiliano mkubwa ulaya wajerumani inawalazimu wajifunze lugha zaidi ya moja ili waweze kuwasiliana katika mambo ya biashara n.k, hivyo kiingereza kinaongewa pale tu kinapohitajika.

Huwezi kwenda kwenye mgahawa pale Stuttgart halafu muhudumu akakuuliza unahitaji nini kwa Kiingereza, hilo sahau. Maeneo mengine kama huongei Kijerumani haupewi huduma.

Na hivyo hivyo kwa nchi zote zilizoendelea, iwe Japan, Urusi, Uswidi au Uholanzi.

Sisi huku Afrika na akili zetu za kitumwa tunadhani kuongea sana lugha ya kigeni ni kustaarabika, na ndio maana wamefanikiwa kututawala kifikra.
Nadhani ulicho kisema wewe ndio hicho hicho nilichokuwa nakisema mimi. Kwamba katika hizo nchi nilizo zitaja na zingine nyingi, kila moja ina lugha yake ya taifa ambayo inatumika katika kila nyanja. Japan wana yao, warusi wana yao, wafaransa hivyo hivyo. Japo nchi zote hizo zina vikundi vyenye makabila tofauti ila miaka mingi iliyopita waliamuwa kuwaunganisha wananchi wao kwa lugha moja ya taifa. Kama kijerumani, ki Dutch, kitaliano nk.

Labda nikusahihishe kidogo, umetaja bara la ulaya ni uingereza ndio inatumia kingereza kama lugha ya taifa lakini Republican of Ireland nao wanatumia kingereza katika shughuli zao za kila siku.
 
Yes ni kweli kabisa, Republic of Ireland wanatumia pia Kiingereza.
 
thats not official
examples of official names are;

John Pombe Joseph Magufuli
Edward Ngoyai Lowassa
Emmanuel Gabriel Mwakyusa
Reginald Donald Mosha
Samuel John Sitta
Jacklin Wolper Massawe
Wema Issac Sepetu
Honest Prosper Ngowi
Edibily Jonas Lunyamila
January Yusuf Makamba
Melkiory Mlambiti

Haiwezekani mwafrika asiwe na Jina la asili yake,never.Nenda angaria kwenye birth certificates wamesajilije.
hatuelewani
 
The very meaning of mother tongue is the language that a person has been speaking from early childhood. Most of us Tanzanians have grown up speaking Kiswahili regardless of our parents' origin. In other words Kiswahili is our mother tongue. Our parents, on the other hand, have their mother tongues. As human beings we are susceptible to changes in various aspects including languages. There are countless examples.
You are however not mindful of the serious disadvantages inherent in this policy by Tanzania. The other tribes are losing their identities, sone languages are in fact slowly dying off as a result.

Is this a good thing really?
 
Muendelezo wa hoja hii nibkwamba Muafrika kuwa Muislamu au Mkristo ni uchizi vile vile.

Hilo mbona sijaliona?

Hayo majina ya John David mwanzo wake ni ukristo kupewa kipaumbele.

Kuna wengine kina Ali Hassan pia.
 
Madhara ya Tanzania kusistiza lugha ya Kiswahili kwa makabila mengine za asili, pamoja na tamaduni zao.
Tz bosi tuna lugha mbili rasmi kiswahili and English. Kwangu naona kusisistizwa kwa kiswahili kuna faida mingi kuliko madhara.

Tz iko na makabila zaidi ya 125. Fikiria labda kila lugha ingesisitizwa? Si nchi ingekuwa ya wapiga kelele tu!
 
Ni nchi gani duniani imeedela kwa kuwa multilingual, China, Japan, France, German, UK, Brazil etc.. How do you unify your people kila mmoja anajifungia kwenye ukabila kwanza halafu nchi baade.
Mkuu umefanya research au unaongea tuu. Maendeleo gani unayazungumzia ? Kama ni uchumi unategemea vitu sana hata Africa nzima ingezungumza Igbo au Hausa au Amharic au kiswahili ingeweza kurahisisha uchumi lakini sio only determinat ya maendeleo ya uchumi.

Ukiwa unafahamu lugha nyingi unauwezo wa kujadili mambo uwanda mpana( thinking ).
Kutumia lugha ya kigeni na kuudharau yako ni utumwa

Nchi za ulaya ni typically monolingual huwezi kuwapima kwa kigezo cha lugha ktk uchumi. Tupime ktk education.
Sisi tunatumia lugha yao ktk kusoma hayuijui hatuiwezi unajikuta unasoma lugha na subject matter same time. Inaleta shida sana.

Kuhusu china mkuu hujui kuwa china wanatumia lugha yao Mandalini ktk kila shughuli isipokuwa wanaposafirisha bidhaa tu wanakuandikia manu book ya kutumia tena sio kwa lugha moja.
 
aisee tuzidi kujivunia majina yetu ya asili, yaani ya kiingereza maana ss wakenya ndo asili yetu. Yaani sijui tulijapataje huku africa na waswahili jamani, ningekuwa na uwezo kenya tungekuwa eu maze
 
Tz bosi tuna lugha mbili rasmi kiswahili and English. Kwangu naona kusisistizwa kwa kiswahili kuna faida mingi kuliko madhara.

Tz iko na makabila zaidi ya 125. Fikiria labda kila lugha ingesisitizwa? Si nchi ingekuwa ya wapiga kelele tu!
Kiswahili kinategemea maneno kutoka lugha za kikabila pia. Tukiziacha lugha za asili kiswahili kinaweza kosa maneo toka lugha hizi.
 
Kiswahili kinategemea maneno kutoka lugha za kikabila pia. Tukiziacha lugha za asili kiswahili kinaweza kosa maneo toka lugha hizi.
Kiswahili ni lugha inayojitosheleza kimsamiati na kimaana.

Kwa hiyo tusisitize lugha za makabila kuliko kiswahili?
 
Kiswahili ni lugha inayojitosheleza kimsamiati na kimaana.

Kwa hiyo tusisitize lugha za makabila kuliko kiswahili?
Kwa tulivyofika hapa hakuna hoja ya lugha za kikabila kizidi Kiswahili lakini tusiziache kabisa ni utambulisho mzuri na utamaduni. Tukiziacha tutakosa maneno mengi sana ambayo yanailisha lugha ya kiswahili maneno.
Mf: ng'atuka, bunge, etc yanatumika lakini asili zake ni lugha za kikabila tukiziacha tutakosa maneno mengi kukidhi uvumbuzi unaoendelea
 
As a taboo we don't speak our vernaculars outside our homes doesn't mean we can't speak. It's a customs n traditions thing that we don't communicate using our languages at the presence of a stranger. U need to know Tanzanians more..
 
Kwani nani aliyemtawala mwenzie?... Mbona hujasema kwanini wabrazil wana majina ya kireno?.... Au wamarekani wana majina ya kiingereza?...

Hiki kizazi cha sasa hivi hakikutawaliwa lakini bado kina wazimu huo.
 
Mkuu umefanya research au unaongea tuu. Maendeleo gani unayazungumzia ? Kama ni uchumi unategemea vitu sana hata Africa nzima ingezungumza Igbo au Hausa au Amharic au kiswahili ingeweza kurahisisha uchumi lakini sio only determinat ya maendeleo ya uchumi.

Ukiwa unafahamu lugha nyingi unauwezo wa kujadili mambo uwanda mpana( thinking ).
Kutumia lugha ya kigeni na kuudharau yako ni utumwa

Nchi za ulaya ni typically monolingual huwezi kuwapima kwa kigezo cha lugha ktk uchumi. Tupime ktk education.
Sisi tunatumia lugha yao ktk kusoma hayuijui hatuiwezi unajikuta unasoma lugha na subject matter same time. Inaleta shida sana.

Kuhusu china mkuu hujui kuwa china wanatumia lugha yao Mandalini ktk kila shughuli isipokuwa wanaposafirisha bidhaa tu wanakuandikia manu book ya kutumia tena sio kwa lugha moja.
Duh, inaoneka maandiko yangu watu wameyachukulia kivingine kabisa.

Hili swala wengi mnalichukulia kwa dunia ya sasa lakini turudi nyuma kidogo, wakati nchi zinaaza kujigawa duniani na watu wanaaza kujitambulisha kama wao ni wa nchi fulani. Kitu kimojawapo kinacho fanya nchi kuwa nchi ni kuwa na lugha moja ambayo kila mwananchi anaweza kuitumia au asilimia kubwa ya wananchi wanaweza kuitumia katika shughuli zao za kila siku. Hapo ndipo nilipo sema unawezaje kuunganisha nchi (unify) na kuleta maaendelo huku kila mwananchi anaongea lugha yake? Leo hii Afrika Kusini wamekabwa na tatizo hilo la lugha, wana lugha kumi na moja na kila upande unasema hawataki kutumia lugha ya mwingine. Wazingu walitaka kutumia ubabe wa kuweka lugha yao mashuleni (Afrikaans) kilichotokea ni ugomvi mkubwa na watu wakapoteza maisha.

Sasa ukija kwenye matumizi ya lugha zaidi ya moja kwa dunia ya leo, sio lazima uongee lugha nyingine ndio uweze kufanya biashara au uweze kuwasiliana na mtu wa nchi nyingine, kuna nyenzo nyingi za kiteknolojia zinaweza kukuwezesha kufanikisha kile ulichokusudia kukifanya.

Elimu ina mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi, lakini kabla hujaanza kusambaza hiyo elimu, ni lazima kuwe na lugha moja ambayo inatumika kufundisha watu. Afrika yetu ni bara lililo mezeshwa tamaduni za mataifa mengine bila hata ya sisi wenyewe kupenda. Na juhudi kubwa zinatumika ili Afrika iendelee kubaki hivyo hivyo ikitegemea tamaduni za wengine. Lakini kwa hivi sasa kuna mhamko wa Waafrika kuanza kutafuta lugha au tamaduni za Afrika ili zitumike kwa waafrika walio wengi, kiswahili kimepewa heshima ya juu ambapo Umoja wa Afrika umekitambua kuwa ni lugha rasmi ya Afrika. Nchi nyingi za Afrika zimeanza kuwa na mhamko wa kufundisha vijana wao kiswahili kama lugha ya ziada.

Sorry mlolongo mrefu lakini ni bora kueleweka
 
Back
Top Bottom