The USA is penalizing Russia and China with sanctions

Russia is the only nation that can sell to u weapons that US can't counteract that's why whenever russian weapons have been bought by any nation US barks like stray dog suffering from infectious Rabdovirus dizizi! At this juncture u will agree that Russian weapons are the only feared by US!
 
Naona kila. Dalili. Ya china kufungua mipaka.ya biasharakati yake na North korea! Hapa USA atapata shida sana kama uhusiano kati ya NK china na Russia utaimarika
 
Marekani inatarajia kuongeza vikwazo katika idadi yake dhidi ya raia wa Urusi zaidi ya 33 wanaojishughulisha na ulinzi na upelelezi wa nchi hiyo.

Muda huohuo, vikwazo vitawekwa katika vitengo vya ulinzi vya jeshi la China, baada ya China kununua ndege za kivita na mifumo ya usalama ya anga kutoka urusi.
Marekani anadai kwamba China amedharau vikwazo alivyowekewa Urusi na marekani
 
Back
Top Bottom