Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Ronaldo mnyama case closedKwanza angalia style ya messi anavyocheza halafu angalia ronaldo anavyocheza, messi anacheza namba kumi ambayo anacheza kama AMF, anashuka someTImes hadi kwa centra Midfield "CM" na kuchukua mpira kudribo kupanda kwenye eneo la hatari la opponet, wakati ronaldo cristiano kwa sasa anacheza kama central striker, wakati mwing anasimama kwenye box kusubiria cross au penetration pass, kdogo alivyokua man u na mwanzo akiwa madrid alikua anacheza kutokea pembeni kwa kasi na eneo la juu la kushambulia, uzuri wa ronaldo upo katika speed na kukimbia kupita mabeki lakini hawezi kuchezesha timu kama messi, bro! Ronaldo is CF while messi ni AMF, NANI ANAFANYA KAZI KUBWA UWANJANI HAPO?
pia angalia aina za assist xa messi na jinsi anavyopiga pass ndio ut
MAvv9 y
Nataka Messi Kama ameshawahi kufanya hivyo?Mbona wapo weng mkuu, karim benzema, bale na ramos, au unataka wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Messi amezidiwa basi na hao wote wa Madrid ndo umshindanishe na mnyama cr7haahaha jamaa mahaba yake kwa ronaldo yameptilza, kwahyo anamaanisha aliechukua UEFA tatu mfululizo kikosi cha madrid kilikua na RONALDO mwenyewe kikosi kizima.
Kwani huu ni wako?
Wewe kalale unampenda cr7 mnyama but unazuga tuu eboooh
SEMA Messi ni mchezaji Bora kwangu,but kwa majority of the people RONALDO Hana mpinzani ni king and he will still be the king forever in football history nyote semeni oyoooh eboooh.Hawa vijana hawampendi King Messi, wanajuwa haswaa Messi ni mchezaji bora kuwahi kutokea ila wivu/chuki zinawasumbua...kuna kipindi walikuwa wanabweka eti Messi anabebwa na akina xavi na iniesta, Messi akawaumbua baada ya akina xavi kuondoka...sasa wanasema teamates inambeba [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa viumbe hawalali all the time wanamuwaza messi tu....nawasiwasi wengi wao watakuwa washapata maradhi yasiyotibika.
Alafu kitu kingine...mtu kama hajui mpira si akae kimya kuliko kujidhalilisha hivyo! Kumfananisha Ronaldo/Striker na King/attaking midfielder and all possession ni kumvunjia heshima, Messi scores all types of goals; dribbles, shots outside/inside the box, free-kicks, ukija kwenye skills, playmaker ni yeye, assist goals ni yeye, mkokotaji wa kijiji ni yeye n.k... wakati Ronaldo yeye anasubiri apewe afunge kwa maana ingine tunasema "MVIZIAJI" ni kama akina Suarez, Lewandowsky, aguero, lcardi n.k. sasa kumfananisha mtu ambae anacheza all possession na striker/mjiziaji ni kumvunjia heshima.
Messi ni Kama wakina benzema,Muller,na van persie ni UPUMBAVU kumlinganisha na KING RONALDO MNYAMA.CASE CLOSED.Cr7 ni kama akina aguero, suarez na Lewandowsky, ni upumbavu kumlinganisha Messi.
Toka hapa ni Messi huyo ebooohSio kweli acha uwongo .. messi huwa ana waachia mpaka wenzake wapige penalty .. mwenye hiyo tabia ni cr7
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia tena kuiangalia iyo picha ya piliKama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.
Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup
Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.
Psg wanachukua ubingwa msimu huu na ujao alves anavuka hapoTop 7 players with most trophies in Europe
#7. Gerard Pique – 30 trophies
#6. Zlatan Ibrahimovic – 31 trophies
#5. Maxwell – 32 trophies
#4. Andres Iniesta – 32 trophies
#3. Lionel Messi – 33 trophies
#2. Dani Alves – 34 trophies
#1. Ryan Giggs – 35 trophies
NITAFUTIENI RONALDO😉😉😉
Messi anaenda kuvunja hii record very soon coz ana muda mrefu wa kucheza
Idadi ya makombe itaongezeka kwa alves hapo giggs atapitwaMkuu, uko dunia ya wapi [emoji23][emoji23][emoji23] PSG washatolewa na man u
Nimekuelewa mkuu.
Hope bado unamuangalia akicheza halafu nambie Mess anacheza central midfild? Kuwa mkweli jamaaMzee,umesahau messi ndo sababu ya kuflop kwa baadhi ya wachezaji barca pale,kisa hapati uhuru?
"He wanted to play in the middle, not on the wing, so the system changed from 4-3-3 to 4-5-1. I was sacrificed and no longer had the freedom on the pitch I need to succeed." Zlatan
Umeyashau haya mzee???Au unajisahaulisha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nlikua namuongelea huyo Ronaldo mbona kama hujafatilia mazungumzo?Sio kweli acha uwongo .. messi huwa ana waachia mpaka wenzake wapige penalty .. mwenye hiyo tabia ni cr7
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tengua kauli mjinga mkubwa gay mwenyewe shubamit eboooh msieeeew.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
We jamaa bhana bonge la fala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah danganya ambao awaangalii mpira hila sio Mimi,nasema tena utakula BAN kwa herufi kubwa ukiendelea ujinga wako wa takwimu za uongo eboooh
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Nakupiga BAN sasaivi ukiendelea kubishana bila FACTSMmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah danganya ambao awaangalii mpira hila sio Mimi,nasema tena utakula BAN kwa herufi kubwa ukiendelea ujinga wako wa takwimu za uongo eboooh
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
hapa ndio nimekujua wewe ni mshabiki wa ronaldo lakini haumzungumzii messi kama mtu unaeijua football na uliewah kuicheza, unamfananisha messi na natural strikers? hao wafananishe na suarez,paco alcacer,sergio kun aguero,cavani,diegocosta. hao ndio wakulinganisha na hao uliowataja.Messi ni Kama wakina benzema,Muller,na van persie ni UPUMBAVU kumlinganisha na KING RONALDO MNYAMA.CASE CLOSED.
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~