The Twins Who Share a Body.

The Twins Who Share a Body.

Their Internal Organs Are A Unique Mix Of Shared And Individual

we-know-exactly-how-many-organs-they-have-photo-u1
 
Mungu katupatia wa kwetu pia, Maria na consolata Mwakikuti.Wamefanya mtihani wa form vi 2017,wanasubiri matokeo.



MWAKIKUTI TWINS2.jpg
 
sasa swali linakuja

je mmoja anaweza kuugua kichwa huku mwingine akiwa normal?

linapokuja swala la hedhi wanaingia mwezini mara moja au hapa inakuwaje?.(yes najua wana uke mmoja)

na vipi mmoja anaweza kuhisi kiu wakati mwingine akiwa hana kiu yoyote?

vipi mmoja akinywa maji kwa ajili ya koo lake na mwenzake abanwe na kiu muda mfupi baadae na yeye atake kunywa maji itakuwaje wakati wote wanatumia tumbo moja?
 
MWENYEZI MUNGU NI MUWEZA JUU YA KILA KITU
 
sasa swali linakuja

je mmoja anaweza kuugua kichwa huku mwingine akiwa normal?

linapokuja swala la hedhi wanaingia mwezini mara moja au hapa inakuwaje?.(yes najua wana uke mmoja)

na vipi mmoja anaweza kuhisi kiu wakati mwingine akiwa hana kiu yoyote?

vipi mmoja akinywa maji kwa ajili ya koo lake na mwenzake abanwe na kiu muda mfupi baadae na yeye atake kunywa maji itakuwaje wakati wote wanatumia tumbo moja?
1. Ndio mmoja anaweza kuugua kichwa mwenzake asiugue
2.Hedhi inatoka kwenye uterus kwa hiyo wanapata mara moja sababu wana uterus moja
3.matumbo yapo mawili kwa hiyo kunywa maji sio shida na center inayohusika na kiu ipo kichwani kwa hiyo kila mtu atasikia kiu kwa mda wake sababu kila mtu ana kichwa chake
 
Back
Top Bottom