You are very wrong mama wa sabusitensi.Iko namna hii:
umesema kwamba ana i quote.."Na ni kwa sababu hii,jamaa mmoja aliniambia siku mmoja kwamba kwa kuwa mama yako ni mtu wa kigoma basi waha wote wa jinsia ya kiume ni wajomba zako,mie mdomo wazi.Hivyo mpwa kama wewe ni muha sema kabisa nianze kukuita mjomba."
kama waha wote ni wajomba zako... ina maana bibi mzaa mama alihusiana na wanaume wangapi hadi wazaliwe wajomba-waha UPATE KUWA NA WAHA WOTE WAJOMBA?..Its mind boggling somehow..ila kwangu mimi naona ni kashfa kwa mama wa mama yako, na hii by extension kashfa kwa mama na kashfa kwako... i may be wrong..labda unieleweshe ndugu yangu.
You are very wrong mama wa sabusitensi.
Kwetu sisi waafrika tuliobobea katika mila na desturi zetu, wanawake wote wenye asili ya jamii ya kwetu ni mama zangu (ukiondoa yule ntakayemuoa labda). Mathalani mimi ni mchaga, akatokea mtu wa kabila tofauti akamuoa mchaga mimi ntamuita shemeji hata kama aliyeolewa si dada yangu. Sasa kama Mheshimiwa mama yake ni mha, halafu mama yake huyo akaolewa na mkwere, basi waha wote wa kiume ambao kimila ni kaka zake mama yake anastahili kuwaita wajomba. (Hapa ni kimila na kidesturi zaidi lakini, sijui nyie wenzetu msiosimamia mila na desturi zetu) Samahani kama hujanielewa, jana sikunywa za kutosha!!
Kuna jamaa aliniambia eti kama una mtoto wa kiume halafu halafu haelewani kabsaa na baba yake yaani "hazipandi" basi ujue ulichezewa dere sijui kuna uweli wowote!!Ukianza kuchunguza mtoto ni wako au la... utapata Sheli, Total, Engen, BP, NK (ugonjwa ya Moyo) na aibu tele... unakumbuka shuka wakati kumekucha??
Thibitisha kwa hapa hapa:Mpwa unajua nilitaka kufika huku lakini kauli yangu ilikuwa imenifunga na ndio maana nikaona nikubali yaishe,I konw my presentation was not good ingawa nina hakika jamaa aliyeniambia maneno yale alikuwa na maana kama ulivyoeleza wewe.
Hapo ni kama hata toilet walikuwa wanaandamana...Kuepuka hili Geoff aliextend honey moon ili wakitoka huko awe na uhakika wa mtoto 101% ni wake
Kuepuka hili Geoff aliextend honey moon ili wakitoka huko awe na uhakika wa mtoto 101% ni wake
Kuna jamaa aliniambia eti kama una mtoto wa kiume halafu halafu haelewani kabsaa na baba yake yaani "hazipandi" basi ujue ulichezewa dere sijui kuna uweli wowote!!
Hapo ni kama hata toilet walikuwa wanaandamana...
Kuepuka hili Geoff aliextend honey moon ili wakitoka huko awe na uhakika wa mtoto 101% ni wake
nimecheka kweli...lol.... cku zote mjue mama ndio mwenye uhaika mtoto ni wa nani.
Utajua tu. Subiri Sista Maria Goreth atakapokuuzia mimba ya padre Gustafu Rafaeli ndiyo utajua vizuri.....Hilo kwa kweli sijui
Kuna jamaa aliniambia eti kama una mtoto wa kiume halafu halafu haelewani kabsaa na baba yake yaani "hazipandi" basi ujue ulichezewa dere sijui kuna uweli wowote!!
Nyie wavaa magauni hamuaminiki kabisa. Kuna mmoja nilikuwa nafanya naye tabia mbaya, siku ya harusi yake akanipigia eti ikiwezekana tuagane. Sasa kaka angekuwa kwenye tarehe za kukonsivu mumewe si angekuwa ananilelea Matesha Jnr wangu?lol, unahic akipewa chance kidunchu tu utafiti umevurugika....haki ya nani una balaa kali.
Nyie mnacheza... kabla hajaenda saluni anapita kunako kuaga kabisa... anaingia kwenye ndoa ana kitu tayari... we unaongezea masikio na kucha tu
Nyie wavaa magauni hamuaminiki kabisa. Kuna mmoja nilikuwa nafanya naye tabia mbaya, siku ya harusi yake akanipigia eti ikiwezekana tuagane. Sasa kaka angekuwa kwenye tarehe za kukonsivu mumewe si angekuwa ananilelea Matesha Jnr wangu?
nimecheka kwa nguvu!...nimekupenda bureeeee.
Ndio maana mimi matatizo ya ndoa yangu siyapeleki kanisani. Sasa ushaanza kumpenda askofu wa watu, mila itakwepeka hapo?nimecheka kwa nguvu!...nimekupenda bureeeee.
Michango kama hii itasababisha nisiowe kabisa!