If you need happiness in your life, I will simply advise you to return to your roots. Mama Africa has got all to offer for you to be happy with the little you have in your possession...
You don't have to have tall buildings, Facebook, video games or the updated gadgets to be happy! As Africans, happiness was given to us naturally by our ancestors...
so true, kwa muda sasa nimekuwa nikitathmini stress zitupatazo tunapoyaangaikia haya maisha ya sasa, nataka niwe na hiki.na hiki na kile,mpaka tunajisahau tumekuja duniani KUTAFUTA au kuishi????utafutaji huu unapelekea mpaka tunasahau hata kusmile tunapoteza maana halisi ya maisha.
i want to go back in hose years............
Umenikumbusha gazeti la jitambue nilisoma kipande kidogo Sana miaka ya 2003 au 4 Kama sikosei makala ilikuwa inahusu masuala ya furaha mtoto alikuwa kwenye hali ngum ukitazama mazingira lakini alikuwa na furaha nyingi nadhani msongo wa mawezo maeneo ya mjini hutokana na watu kujilinganisha zaidi na kuangalia vitu wasivyo Navyo kuliko walivyonavyo.be yourself u can not have the whole world.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.