The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

Bro, sipati notification zako sijui kwanini...Invisible fanya msaada
Huwa inatokea mara
chache-chache Hali kama hiyo, tena ni kwa wote,
so nadhani system inasumbua
 
Hahaha,...Dabo ni Daby sasa sikuiona hii!!

Nasikia mama mkwe atoto
kaanza kuchepuka ila nisiweke neno nitamvunjia heshima mkwe wangu naamini Kaboom bado ni baba mpaka nitakapopewa taarifa maalumu
Tena mkwe hautakiwi hata kutia neno.
We endelea kutafuta tu mishumaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom