The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

nakwaambia nimeshaandaa mabomu yangu hapa, halafu nimeyatengeneza locally cjui kama watatoboa.
Zidisha mahaba mama...mabomu yanaweza kuexpire...
 
hata afanyeje hawezi Daby, si nimeshafunguka? nini hujakisoma bado?
Aya...naona mmeitana na bae wako. BTW, akikuliza sitakuwa tayari kuona unamwaga chozi..ntakufuta
 
aku hakuna kulizana hapa, usitegemee looooh STUNTER umemsikia Daby jaman?
Dear jje's ,
Sitokuahidi kwamba sitokufanya ulie,
Bali NAKUAHIDI Kukufanya utabasamu kabla hata machozi hayajakauka mashavuni mwako,
Nakupenda sana Bae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom