inaitwa busaa au pusaa? halafu preta nataka ndani ya hii miaka miwili niwe mlevi mkubwa hapa tz ...pombe ina raha yake bestndio nilitaka nimwambie.....hawezi kuweka list namna hiyo........hebu arudie....halafu aongeze pingu na busaa.........
nakumbuka siku nilipata kipaimara niliiba moja home nikanywa sikla siku 2 ndo pombe yangu ya kwanza na mwisho .....sijui ndo hiiyo sijui ni tusker ilikuwa
Where is TZ?
mi natumia dadii ipo no ngapi mkuu
dadii tamu sana ...wanywaji wake wana afya kweli kweli ...full mashavu na vitambi
Duuh kumbe unaipata hii kitu eh! Aisee mpaka mape yananitoka nikiikumbukaga!
Duuh kumbe unaipata hii kitu eh! Aisee mpaka mape yananitoka nikiikumbukaga!
1. Kimpumu
2. Kindi
3. Mapuya
4. Wanzuki
5. Mbege
6. Mnazi
7. Rubisi
8. Ulanzi
9. Togwa
10. Malizia na ww
Leffe Blonde imetulia..ulishajaribu Brune yake? Belgian beers ziko powazz!
1. Kimpumu
2. Kindi
3. Mapuya
4. Wanzuki
5. Mbege
6. Mnazi
7. Rubisi
8. Ulanzi
9. Togwa
10. Malizia na ww
Yap sure..lakn blonde iko juu zaidi. Hivi kuna sehem hapo dar zinapatikana?