The story of my interview failures and lessons learnt

Nakumbuka nilipokuwa bado nasoma nilishaenda kwny interview mbili ili ku gain exposure na experience na nilipomaliza tu chuo tu nikafanya interview yng ya kwanza na nikabutua

Nilichojifunza nikiwa nangojea interview Vijana wengi hatujiamini yaan tuna ngoja interview mtu ana kuuliza utatumia lugha gani mara mwingine aseme mie natumia Kiswahili tu inasikitisha sana
 
Taratibu mkuu. Piga kimya. Usije ukablow my identity. bhachu
Dr. unge edit maeneo uliyopo ili watu wasijue eneo lako.

Lakini kama huwa huchangii kwenye siasa sidhani kama kuna shida.

Ila asante kwa mada nzuri.

Tangu kuzaliwa kwangu, nimepata ajira kwa neema ya Mungu tu Na sio kumfahamu mtu.

Ila pia, mahusiano mazuri na watu ni muhimu, kuna kazi zingine hazitangazwi, na mtu wako wa karibu ndiye anayeweza kukupa taarifa.

Nimeona pia referee wakitoa negative feedback kwa mhusika kwa sababu ya mahusiano mabovu.
 
Asante sana kaka du nimefarijika kiasi flani sema shida hizo trip za huku na kule zinahitaji hela ikiwa kila trip unaenda bila mafanikio hata kuomba hela unaona aibu ikiwa tu huna zako. But all in all need to encourage yourself
 
mimi bwana interview ambayo sitisahau ni nje ya nchi niliambiwa Your English is poor [emoji23] [emoji23] nikikumbuka hili nacheka saana.

halafu alivyo na tabia mbaya mbele za watu hahaha.

Cc Asprin Karucee

Maisha mapambano kijana wangu, Kukata tamaa chini ya jua hil ungali una nguvu za mwili bado huwa nahesabu huyo mtu ni mfu anaetembea
 
Heri yako ulikua unaenda interview na kazi unayo tayari

Kuna wengine nauli tu ya kuwaleta DUCE kutoka Mwanza kugonga pepa ya Utumishi ni mtihani kwao
 
Usiogope kijana, miezi nane michache Sana, mie huu mwaka WA 8,
 
Interview za mtindo wa unatuma CV na Cover Letter sijawahi kuitwa nimeitwa sana kupitia ule mtindo wa mwajiri kutaka labda utume kazi yako aithaminishe ndiyo akuite.

Hata hivyo sijaland ishu bado. Lets wait and see
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aiseee........hujui Mungu huyo huyo hutuma watu wake kutubebaa
Hahahahaa,. Ni kweli Mungu hashuki mwenyewe moja kwa moja au hatumi malaika wa mabawa,.hutumia watu...lakini kuna kutumia njia ambazo hata Mungu mwenyewe hazimpendezi katika kupata kitu Fulani,.na vitu vya kiMungu wala hutoki navyo jasho sijui utoe kitu kidogo,like hongo,rushwa n.k..nooo..huja kwa mtiririko mpaka mwenyewe unasema "Yes huyu ni Jehova aliye hai".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…