The South African-made Marauder

NDINDA

Platinum Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
10,754
Reaction score
49,658
 
Naomba kuazima siku moja tu niingie nayo mitaani dar, daladala ntakuwa nazifata mimi, maana wananionea sana naki Jr. changu.
 
Naomba kuazima siku moja tu niingie nayo mitaani dar, daladala ntakuwa nazifata mimi, maana wananionea sana naki Jr. changu.
Teh teh du una Usongo na hao watu, mi na makonda ni maadui, wakati nasoma day nimekalia sana lile eneo la moto lile karibu na engine halafu kukalia kwenyewe ni kwa mbinde vilevile, makonda wamenikera kinoma
 
Mkuu NDINDA, hiyo kitu ni street legal? Hapo hakuna Hummer wala nini, this thing is a monster!
Hivi NYUMBU letu vp, kuna mainjinia wenye akili kweli pale?
 
Mkuu NDINDA, hiyo kitu ni street legal? Hapo hakuna Hummer wala nini, this thing is a monster!Hivi NYUMBU letu vp, kuna mainjinia wenye akili kweli pale?
Mkuu nyumbu bado wapo wapo, nadhani mwaka huu sabasaba wanaweza Kutuonyesha wamefikia wapi, kwa Sasa watakobahatika kufika kwenye mabanda Yao wanaweza kututaarifu zaidi, mkuu hiki kitu Kama walivyosema linapatikana katika aina tatu kwa hiyo Nina uhakika litakua street legal,
 
Mkuu, link tafadhali.
 
Hii Ipo bongo..tayari...Barrick North Mara wanayo kwa ajiri ya kusafirishia zile dhahabu zetu....ni balaaa.
 
Huu mzigo kweli siyo wa kitoto..
Nimeutamani aisee!
 
KITU CHETU HIKIN HAPA
NYUMBU
 
Mkuu NDINDA, hiyo kitu ni street legal? Hapo hakuna Hummer wala nini, this thing is a monster!
Hivi NYUMBU letu vp, kuna mainjinia wenye akili kweli pale?
WA KWETU HUYU HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…