The Solidarity fund

MHARADALI1000

Senior Member
Joined
Jun 10, 2021
Posts
125
Reaction score
201
Kuna mahali nimesoma haya maelezo nitanukuu hapa "Ilivyopanda ni shock (mshituko) ya awali, ingekuwa itapanda milele ndio watu wanatakiwa kuwa na hofu.

Ukiangalia kwenye soko la dunia hakuna dalili ya mafuta kupanda. Ukipima vitu vinavyochangia kwenye mfumuko wa bei mafuta ni asilimia moja,” alisema Dk Mwigulu."

Kulingana na hayo maelezo inamaana hili suala la kuweka tozo kwenye mafuta na miamala ya simu ni la muda ?

Na kama ni suala la muda itachukua muda gani kumalizika?
 
Ni nani aliekuambia ni kodi ya muda fulani?
We jua ni ya milele basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…