The so called “Taifa la Wateule”

wateule wa kimagumashi.
teh teh teh teh tihiii
 
Ukiwa mteule lazima uonekane mgomvi, alafu unaushinda ugomvi,mwisho dunia inakujua kuwa wewe unashinda kila ugomvi.
 
Kila mtu huwa yupo alivyo kulingana na malezi,mazingira pamoja na elimu yake
 
Taifa teule gani hilo, waafrika wenzetu wananyanyaswa na kufukuzwa kabisa,, na isitoshe wanauwa innocent people bila kosa lolote.....wapumbavu tu hao hawana mpya shogas tu


Taifa teule siku zote huleta amani katika nchi za watu, na hutetea wanyonge wanapoonewa....
 
Mbona unaandika kwa hasira sana..Tuliza akili andika vizuri.Nijibu maswali haya.
1.Tanzania ilipowafukuza wakimbizi wa rwanda ilikuwa ni ubaguzi?.
2.Nitajie nchi dunia hii ambayo haijawahi kuua wasiyo na hatia?.Kila mtu ana hatia,it depends which side he/she is.
3.Unafikiri Israel hakuna sheria za uhamiaji kama Tanzani?...
4.Unafikir Israel wakiruhusu kila anayetaka kuhamia kwao aende,je Africa itajengwa na nanai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…