Denira
Member
- Jan 27, 2012
- 30
- 23
Naamini wengi tunafahamu Smartphones. Naamini pia wengi tunazitumia. Kabla ya kuwepo kwa SmartPhones, simu za kawaida zilikuwa zinaweza kufanya mambo kadhaa ikiwamo kupiga na kupokea simu, SMS, MMS, kutunza kumbukumbu za kalenda, kuseti alarm, n.k
Ni mambo gani hayo basi ambayo yanatofautisha Simu hizi na SmartPhones? Kama wewe ni mtumiaji wa smartphone, unakaribishwa kushare mambo ambayo yanafanya simu yako kutokuwa "smartphone jina".
Unaweza kushare hata applications ambazo zinakufanya kuikubali simu yako kuwa smart.
KARIBUNI