The Rose That Loves ...

Hiyo nayo ni dedication ya pili,,hebu do ze nidful


Halafu bdae mnaenda fanza nini na mama obama????

Wise lady my dear,kitu kizuri kula na mwenzio!huyo wako ukiwa nae akitoka na wenzio tumfaidi bibie,wanaume wachache hawa????:playball:
 
ha ha ha ha ha ha, samahani sana Wise Lady?hakuna shida babu Aspirin nimekuelewa sana,asante lakini,tutaongea basi baadaye kama tulivyokubaliana pale ....................LOL:playball:

haya tena, yangu macho...
Finest rudi basi kipenzi changu...
naona babu kaanza uchaguzi nwa jukuu wapy...
na wajua kitu kinachofuatia ni ukaguzi...
TF rudi haraka nakuomba ........
zile dawa hazimtuizi tena sababu ..
hii poem ya MM imemchanganya akili....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom