The rise and fall

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
ukiamua utasimama tena wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho
 
Ndio akili za ma star wa Tanzania zilipoishia,
Muda wote huo alishindwa kutafuta watu wakayamaliza nje ya mahakama? Au alidhani kwa kuwa yeye bondia basi hakimu atamuogopa? Akakae na wababe wenzake huko.
 
Nobody is above the law! Akijiamini kupita kiasi kama Tid wakati ule! Umaarufu ni ugonjwa mbaya sana
 
Ila ni uonevu tu Mbona Yule Prof mzinifu alimkapuya binti wa watu ila leo bado ni Mhishimiwa? Nawaza hapa ili kuwa na kinga dhidi ya uhalifu dawa ni kujiunga na siasa tu! Tena za Chama Chetu!
 
Ndio akili za ma star wa Tanzania zilipoishia,
Muda wote huo alishindwa kutafuta watu wakayamaliza nje ya mahakama? Au alidhani kwa kuwa yeye bondia basi hakimu atamuogopa? Akakae na wababe wenzake huko.

Kunani?
 
Tatizo hapa ni ujinga tu . Kapewa nafsi ya kujitetea mahakamani analeta upumbavu eti anasema mahakama ifanye lolote inalotaka, wafanye vyoyote wanavyopenda wao. Huo tena si ni wendawazimu kabisa unaozidi hata kiwango cha ujuha?

hasira hasara
 
Bondia fransis Cheka kahukumiwa kwenda jela miaka 3 baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga na kumsababishia maumivu makali meneja wa bar yake hivi leo ndio anatimiza siku ya kwanza nyuma ya vyuma
 
Tatizo hapa ni ujinga tu . Kapewa nafsi ya kujitetea mahakamani analeta upumbavu eti anasema mahakama ifanye lolote inalotaka, wafanye vyoyote wanavyopenda wao. Huo tena si ni wendawazimu kabisa unaozidi hata kiwango cha ujuha?

ndio tatizo la kua na kipaji fulani bila ya kua na elimu
 
atatoka kwa msamaha wa rais,just wait si kila mwaka kuna msamaha wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…