MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
fast you have to start with msonga and then come to mr lowassa.Should Lowasa be accountable for richmond? If yes, let him face the charges.
You mean msoga?fast you have to start with msonga and then come to mr lowassa.
swissme
Teh teh teh! never, it wont happen at all otherwise no giant stone will be left untouched and gues what... a fatal distortion and falling of powers will firstly be witnessed in this country. Hiyo itaitwa ni kupatwa kwa historia ya uongozi wa nchi endapo haki ya sheria itasimamiwa... Tafadhari waungwana muacheni mkwere ajipumzikie hamuoni afya yake imezorota?!Should Lowasa be accountable for richmond? If yes, let him face the charges.
Unadhani mahakamani utetezi wa "nilielekezwa kwenye simu wakati mzee yupo new york" utakubalika mahakamani? Wale wazee wanataka documents...serikali haiendeshwi kwa simuNingependa sana Lowasa ashitakiwe ili tujue ipi mbivu na ipi ni mbichi.
Tuondoa ukakasi uliopo juu yake.
Ila Mzee wa Msoga naye hachomoki kwa hili.
You may be right, reguarding the geopolitical status! We may not worry the backers of the fraudulent company as the global power is nearly striking the balance.
You know what, Putin recalled all contracts which were signed by his predecessor on energy issues. The contracts involved BP and other giant petroleum companies ;I am wondering why can't we do the same for energy and minerals contracts as the country!
Ukitoa maelekezo kwa simu mara unaporudi unapitisha kwa maandishi na unasainiUnadhani mahakamani utetezi wa "nilielekezwa kwenye simu wakati mzee yupo new york" utakubalika mahakamani? Wale wazee wanataka documents...serikali haiendeshwi kwa simu
Ndio umeandika nini hicho hapo juu??????.....Naona unatumia cheti cha MWENYEKITI WENU.....ebu nenda kamdai cha KWAKOfast you have to start with msonga and then come to mr lowassa.
swissme
Unaweza kupitia kwenye hii thread ya Yericko,Hivi Mkulu aliyepita , alikwenda mara ngapi USA, JAPANI,UJERUMANI,CHINA ,UINGEREZA,URUSI,DANMARK, UHOLANZI,INDIA,KOREA,UFARANSA? Safari zote bila kujali matibabu, Mikutano, kuomba misaada , nk
Ndio umeandika nini hicho hapo juu??????.....Naona unatumia cheti cha MWENYEKITI WENU.....ebu nenda kamdai cha KWAKO
Sio kwenye serikali zilizopitaUkitoa maelekezo kwa simu mara unaporudi unapitisha kwa maandishi na unasaini
Yani nimekuelewa kwenye hayo maneno ya kiswahili tu, baada ya kuona neno "Richmond".Teh teh teh! never, it wont happen at all otherwise no giant stone will be left untouched and gues what... a fatal distortion and falling of powers will firstly be witnessed in this country. Hiyo itaitwa ni kupatwa kwa historia ya uongozi wa nchi endapo haki ya sheria itasimamiwa... Tafadhari waungwana muacheni mkwere ajipumzikie hamuoni afya yake imezorota?!