innocent j
Member
- Jan 17, 2012
- 58
- 9
- Thread starter
- #21
thats why am telling u am doubting even what will they do tofauti na ccm, hata hilo la kushika nchi halijashika kiivyo bado watu wengi tu ninaowajua ambao hawana imani na cdm. sasa wanaanza kujichafua na propaganda za ajabu kabisaMkuu, kuhusu lengo la kushika Ikulu, sioni kitakachowazuia 2015. Cha kujiuliza ni kuwa watakapokuwa huko tutapata tunachotarajia toka kwao? Kasi yao inaanza kututia mashaka. Walitusomea orodha ya mafisadi pale Mwembeyanga, na matumaini yetu ilikuwa mafisadi hao wafikishwe mbele ya haki kujibu tuhuma zao za ufisadi, badala yake leo hii tunaambiwa baadhi ya haohao mafisadi wanaambiwa wavue gamba wavae gwanda, what does this mean?