maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,410
- 6,067
Tokea nimeanza kuleta Series za mabilionea nimejifunza mambo mengi mno,mojawapo ni njaa ya watu ya mafanikio hasa vijana.
Leo nimewaletea list ya matajiri wanaongoza kariakoo,kwa ukwasi wa kutisha huku wakiwa hawajulikani kiundani,wengine wanajulikana lkn wengi hawajulikani.
Matajiri wa Kariakoo wana tabia moja,wana mashindano yasiyo rasmi,wanashindana kweli kweli,na mashindano yao hayo ndio yanawafanya wawe matajiri wa kutisha,tabia yao nyingine ni kwamba matajiri hawa wana changia pato kubwa sana serikalini,kwa hiyo serikali inadeal nao kama yai,kwa hofu,serikali inajua na wao wanajua.
Kwa ukawaida Matajiri wa Kariakoo wamegawanyika awamu Tano.
Waarabu:Waarabu wanafanya vizuri mno Kariakoo,wanadeal sana na bidhaa za spea na matairi
na vipuri na biashara ya vifaa vya umeme,nguo,furnitures na mengineyo.hawa sio kama wahindi wao wameweza kuforge partneship na wachaga na kutengeneza moja ya combination bora kabisa kwenye biashara,hawa Mogul wao Alikua Said wa HSC na mdogo wake Gharib.
Wachaga:Hawa Ndio wameikamata Kariakoo,wako kwenye Kila biashara,wanairun Kariakoo,asilimia 70 ya wachaga waliopo kariakoo ni wakibosho,kama vile wamachame walivyoikamata wao wameishika Kariakoo,ni kawaida kabisa kukuta mchaga wa kawaida anarun biashara ya over 4 B na bado asiwe kabisa katika list ya matajiri wa Kariakoo. Hawa Baba yao ni Hans Macha,huyu kawakamata wote,kwa wale wa kariakoo mtanielewa.
Wakinga:Wakinga hawana mbwembwe,wana Investment za kufa mtu na bado hawapigi makelele kama wengine,shida yao kubwa ni kwamba wanaogopeka sana maana watu hawawaamini,hawa baba yao ni Mgaya...
Wengineo:Wapo wengine wengi tu ambao wana hela Kariakoo,na hawajulikani kabisa,yapo makabila mengi mno ila hawa ndio vinara.
Matajiri ni watu kama sisi,wanaishi kama sisi na wana akili kama zetu,tofauti yao na sisi ni moja tu,wao wanafahamu wakifanya hiki,kile kinaweza kutokea,wana nia ya kuwa matajiri zaidi,na wanalifanyia kazi hilo kwa akili,nguvu,jitihada na Kumuomba MUNGU.
hakuna haja wa kuchukia au kujichuka,cha kufanya ni wewe kuanza sasa mikakati ya kuwa tajiri,ukikosa ubwabwa,huwezi kukosa hata ukoko,pambana
cc Bosco saronga Makoi.
fisadikuu
mwasu

- Wachaga
- Wahindi
- Wakinga
- Waarabu
- wengineo