Mkuu nimekusoma vizuri..naomba usichoke kutoa hizi nondo..Asante kwa mrejesho wako, Ukipata mda viweke hapa kwa faida ya wengine maana mimi sina soft copy za hivyo vitabu.
Pia naona leo nakutana na watu wachache miongoni mwao.
Ambao wamekutana na nondo hasa hicho kitabu na akakisoma akabakia the same.
Kweli Ni ajabu.
Ila katika yote vema ukajifunza haya Tunaishi kwa Imani Tu.
Iwe Muovu anaimani hata Mwokovu anaimani pia.
Hata yule asiyeamini uwepo wa Mungu naye ndiyo imani yake sambamba na mtu ambaye anaamini Uwepo wa Mungu.
KWa faida yako Na wengine Hata Biblia tu sio Uthibitisho Juu ya uwepo wa Mungu(Japo tunaishi kwa kukaririshwa kuwa Biblia yaweza Kuthibitisha Hayo)
Ndio Maana Kupinga hoja au kuiwekea ukinzani kwa jinsi unavyoelewa wewe sio jambo la kujitosheleza hata siku Moja.
Nikiwa nasoma kitabu kimoja kinaitwa How To Handle Difficult People Nilijifunza jambo moja kubwa na lamsingi jinsi ya kujiepusha na migogoro yakuwa mbishi.
Kwanza unapaswa binafsi usipinge Hoja(hata kama hoja hujaikubali maana unataka ujifunze na kuweka ukweli pasipo ubishi) baada ya hapo unapaswa kuondoa ule ukweli ulionao katika akili yako na kuuweka pembeni kwanza(Hii inakufanya jambo lile usilione kikwazo kwako)Kisha ingia katika hilo jambo jifunze kama geni Hii itakufanya ulijue kwa uhalisia wote pasipo kuwa na ukinzani wowote utajua vizuri wapi udhaifu wake upo na wapi ukweli wake upo.
Inakuwa ni kama mtoto Uliyemlea wewe mwenyewe binafsi kama hana tabia ya wizi hata akiiba utaamini ni baati mbaya tofauti na wale ambao hawajamlea.
Kisha sasa unarudia ile kauli yako na kuime-merge hapo sasa ndipo unafikia mwafaka juu ya hoja mbili zilizo za tofauti.
Kubishia jambo na kulipinga haina maana kusema linakuwa la uongo la Hasha
Ukweli ni Uongo Na Uongo Ni Ukweli Pia.
Ukweli Unakuwa Ukweli pale unapokuatana na watu wanaoamini ukweli huo,
Na uongo unakuwa uongo pale unapokutana na wale wasioujua kama ni ukweli.
Mfano kuna mtu anatoa ushahidi wa uongo ambao haukuwepo kabisa na unakubalika kuwa ni ukweli.
Na hauwezi kupotoshwa hata siku Moja.
Wewe ni Mkristo namimi ni Mkristo Tunaamini katika Yesu Kristo lakini wakati huohuo wengine hawaamini hata neno lake moja sababu ni kwamba ukweli waYesu Kisto Uligusa mahali ambapo hawauamini Ukweli(Wajazwa na lile wanalolijua wao kua ni kweli hawawezi kuongeza lingine)
Naweza ongea mengi sana Broo Ila acha niishie hapa.
NA MUNGU ALIWAWEKA WATU ILI WAFUNDISHANE NA KUELEKEZANA,ILA WAYACHUKUE YALIYO MEMA TU NDIO MAANA MACHO NA MASIKIO HAYANA PASSWORD YAPO WAZI TU.Hekima na maarifa vyatoka kwa Mungu acha kuzubaishwa na watu.
Sawa nasubiriaNItakuja Kutoa Somo Kwanini Mchawi Ni Vigumu Kuokoka
Napia Kuna Stage za Uchawi Na Aina Za Uchawi
Leo Namalizia Mada ya Iliyoko Ya Wachawi Kisha Nitaleta huo ufafanuzi juu ya wachawi.
Wakuuu Leo Tunaendelea Tena Na Mada yetu
Wewe ni muuza Vitabu tu huna lolote jipya..!Nianze kwa kusema nakumbuka nikiwa bado mdogo mdogo, nilikuwa na sifa moja kubwa sana mtaani kwetu ya ubishi.
Hata kama ulete fact za kiwango gani lakini niki-stickkatika msimamo wangu ni hapo hapo hamuwezi kunibandua hata mngekuwa mia.
Lakini kuna jambo moja aliligundua mzee mmoja siji kumsahau katika maisha yangu yote ningali bado mdogo kabisa miaka 8.
Aliniita na kuniambia
""Nikiamua kuwa na maarifa naweza kuwa nayo, nakuambia hivi si kwamba nimekuona unamaarifa bali nimegundua unaweza kujaza maarifa ukitaka, sasa nakupa kazi jifunze ulimwengu uliofichika ulivyo hautapata nafasi ya kubishana na wengine kamwe'''
Mzee nilimuelewa japo kwa ufupi sana, labda kutokana na umri wangu ulivyokuwa na kuambiwa jambo lililokuwa juu ya uwezo wa frikra zangu.
Nikiwa na miaka 14 ndipo mzee aliweza kunipa kitabu kilichokuwa na Tittle Hii
"Comfort That Kills" Nikitabu chenye page 36 tu lakini ndicho kikabadili ukurasa wangu wa maisha na kunipa hamu zaidi ya kuujua ulimwengu uliofichika.
Nilikisoma kwa kufanya mirejeo mingi sana katika kamusi ya kufasiri maneno ya Kiingereza kwenda kiswahili,
kwanza kilikuwa na maneno mengi ya kiingereza cha zamani sana, kilinipa shida kidogo lakini niliweza kukielewa na kufunguliwa ukurasa mpya wa kusoma Maandishi.
Si kwamba sikuwa msomaji toka mwanzo ila nikwamba usomaji wangu uliegemea sana katika kusoma hadithi za nadharia zaidi zilizoandikwa na waandishi mbalimbali mahiri.
Sasa hapo ndipo nikaaznza kuufukunyua ulimwengu uliofichika kwa fujo zote.
Sio katika Upande wa Dini au Historia tu, bali niliweza kuyajua mabo mengi sanakwa muda mfupi.
Na kadri nilivyozidi kusoma ndivyo nilivyozidi kujua na kutambua ya kuwa katika asilimia 100% huenda nimeijaza asilimia 0.001%(Kwa wasomaji wavitabu wananielewa vizuri hapa maana kadri unavyosoma ndivyo unaona hauna kitu na unahitaji kujaza vitu)
Nilikuwa napitia Thread Za mtu mmoja humu(jina kapuni)
Niligundua jambo moja wengi wanaompinga katika thread zake ni wale wanaoangalia muvi na video za youtube juu ya uhalisia wa ulimwengu tunaoishi, lakini hawezi kuwa na mrejesho hata mmoja juu ya maandishi aliyoyasoma.
Huyu jamaa ameandika vitu vingi ambavyo huenda sikujua kama naweza kukutana na mtu kama huyo hapa, lakini ndipo nikajua kumbe JF ina watu wengi sana wa kila namna (Viva JF)
Sijaja Hapa kuueweka hadharani ulimwengu uliofichika ila ukihitaji kuujua unajulikana kabisa, tena kwa urahisi sana.
Labda unaweza ukakosa Mzii mahala pa kuanzia lakini nakupa kidogo jambo moja.
Jaribu kujifunza mambo kama haya hapa.
Kwa watu wa Imani hasa wakristo na waochimba masuala ya tulikotoka,kwanini iko hivi,kwanini iko vile,imekuwaje,ilikuwaje,jaribu kupitia mambo haya.
-Ni vitabu gani vilimeondolewa katika Biblia
Unaisoma Biblia Leo lakini inavitabu zaidi ya vitano havijawekwa humo
Tafuta kwanini havimo, vinafundisha nini, nk
-Ni nani alikuwa mmiliki wa kwanza wa America(Usiniambie wahindi wekundu nabaadhi ya maneno yaliyopo kajifunze ulimwengu uliofichika)
Naomba niishie hapo kwa Leo, lakini nikipata mda mzuri na nafasi nitaweza kuleta hoja mbalimbali juu ya ulimwengu uliofichika kwa kadiri ya jinsi nitakavyokuwa na muda.
Updates Ipo Page #30 Kitabu Chenye Utata (Kina Uwezo Wa Kujua Wakati Wako Ujao)
Upadates Ipo Page Ya #95 Nguvu Za Asili Alizonazo Mwanadamu Kumshinda Mchawi
Wewe ni muuza Vitabu tu huna lolote jipya..!
Asanthe Kaka Amesahau Hata Suleiman Pia Alikuwa Mtu Wa Mungu lakini kuna wakati alichagua njia zisizo sahihi akautumia ujana wake wote kwa anasa akaja kuamka uzeeni.NA MUNGU ALIWAWEKA WATU ILI WAFUNDISHANE NA KUELEKEZANA,ILA WAYACHUKUE YALIYO MEMA TU NDIO MAANA MACHO NA MASIKIO HAYANA PASSWORD YAPO WAZI TU.
Kwanza ni kupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kutuapatia elimu hii bure kabisa, pili naomba utupe hiyo elimu niliyo quote maana ni muhimu sana ili watu waache kwenda kwa waganga wa kienyeji kupata utatuzi wa matatizo yao.Nguvu Za Asili Alizonazo Mwanadamu Kumshinda Mchawi SEHEMU YA PILI NA MWISHO
Tutajua namna yakujiongezea mvuto wajambo(kama bahati vile)namna a kupata kazi,kulipiza kisasi,umevamiwa na vibaka au majambazi wakuache bila kukudhuru wala wasichukue chochote,namna yakuweka baraka katika biashara,mtu kushinda kesi, kutolewa gerezani hata kama kafungwa kifungo cha maisha, n.k ila katika haya nitatoa dondoo tu, maana habari hizi wakizijua wenye roho mbaya wataweza kuzitumia vibaya(Kumbuka Mungu Akasema Na Tumuumbe Mwanadamu Kwa Mfano Wetu) Ukijua nini maana ya mfano utaelewa namaanisha nini na utaelewa mfano huwa sawa na swali husika mfano hufungua uelewa. Nitaongea Mengi Mda wa Mada Ukifika
Ukisha lihisi tu hilo joto unageuka nyuma maana yake kama unatembea unaenda mbele angalia uliko tokaDuuu hapo kwenye hako kajoto unageuka nyuma? Au sijaelewa? Maana Maelezo mengi lkn sijapata real concept
Sema haujaelewa pote au kuna mahali haujaelewa?Mbona hunyoshi maelezo unajikanyagakanyaga
Kwanza ni kupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kutuapatia elimu hii bure kabisa, pili naomba utupe hiyo elimu niliyo quote maana ni muhimu sana ili watu waache kwenda kwa waganga wa kienyeji kupata utatuzi wa matatizo yao.
Ubarikiwe sana mkuu.
Sawa mkuu lakini uliahidi utazungumzia hizo nukta kwenye post zinazokuja au nimekuelewa vibaya?Sawa Mkuu Mimi sijagusia katika upana wote bali nimeongelea baadhi tu ya uwezo mwanadamu aliojaaliwa kuwa nao
Naomba unitumie sam4peny@gmail.comHicho kitabu unacho nirefer nimeshakisoma bahati mbaya nipo far na access ya PC ningekutumia na hivo vingine kama vya ester na Magdalene!..
All in all good luck on your expedition, only don't forget your grounds!..
Mie nilianza kusoma vitabu vya spiritual na kusoma hadithi za busara ila ni spiritual na mara nyingi sina limiti katika iman yangu na usomaji kiasi flani kuna lock huwa nazifungua kwenye ubongo wangu kupitia mafundisho hayo. Kuna jamaa mmoja anasema siku ukiujua ukomo wako utaenda zaidi ya ukomo wako.