Hebu itafute nijiongezee elimu maana hii privacy ya hadi mume asiulize nani kakupigia simu manane ya usiku?
He he he, leo nambip msukuma
Ole wako uulize ni nani, na tunakichapa cha sayusayu mwanzo mwisho.
Unreasonableness yao...kama hivyo ulivyosema hata kama hawana cha kuficha bado watataka kuficha tu.
Privacy gani?
Upuuzi mtupu
Mi mtu akitaka kuwa na mimi sharti no moja anipe simu yakesiku mbili
Hutaki chapa lapa
Sidanganyiki tena
Privacy wewe ni fbi
Kwenda huko
Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!
weee jaribu uone...
cheza na mimi usicheze na msukuma wangu hapatatosha.... to hell with Haki za Binadamu za Bosi na huyo mwanasheria wake. Hiyo Charter ni ya hao wanandoa tu sisi haituhusu.
hehehe cha Sayu Sayu kanifundisha chote nabonga bila wasiwasi mwenzio...
That's what we call a pathological liar!!
That's what we call a pathological liar!!
wanasema some people wanaongea ukweli
only when they confess that they lied lol.....
Hayo ndo mazoea mabaya...sawa na mwizi aliyekubuhu huwa kuna utani kuwa akikosa cha kuiba anaweza hata kunyatia shati lake alilotundika.Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site, nakuja. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!
Hahaha! U ar right. Friday baada ya kazi tulitoka meeting na dada flani tukaamua tuhang kidogo. Mumewe alienda 'site' toka mapema. She called her kids (wako likizo, teenagers) wakamuambia papaa is asleep. Baadae anampigia mumewe amfuate jamaa anamuambia I'm so tired ndo natoka site, nakuja. Yaani tulimjadili sana. Alikuwa home na anadanganya alikuwa site. What was the reason for lying? By the time anafika tuli-conclude to some lying is a hobby!
Privacy gani?
Upuuzi mtupu
Mi mtu akitaka kuwa na mimi sharti no moja anipe simu yakesiku mbili
Hutaki chapa lapa
Sidanganyiki tena
Privacy wewe ni fbi
Kwenda huko
wanasema some people wanaongea ukweli
only when they confess that they lied lol.....
Lying is hobby!!!!Nilikua sijui hii,duh!!
Hujawahi kuona mtu anakudanganya kabila? As if ukilijua kabila lake utahamia na wewe ufaidike...
Haya ya Privacy ukiyaendekeza, utakatazwa kumchungulia akiwa anaoga. DU HAPA KONGOSHO umeniacha hoi, ukiona anakukataza hata kumchungulia huyo sio wako tena. Anaweza akawa ni bibi yako sasa.
Hujawahi kuona mtu anakudanganya kabila? As if ukilijua kabila lake utahamia na wewe ufaidike...