The prestigious Anne Tibaijuka atajwa kwenye kashfa ya IPTL

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,407
Huyu mama lazima amechezewa game, wamemchongea mama wa watu huyu, she was the second highest ranking African woman in the UN system. Very learned and has achieved a lot in promoting water, sanitation and slum upgrading globally. She was the first African woman elected by the UN General Assembly as Under-Secretary-General of a United Nations programme.

A very brilliant and elegant woman, a role model of the highest level. Sasa naona wanasema ametafuna bilioni 1.6 Tshs kwenye kashfa. Haya mambo yaangaliwe vizuri kwa utaratibu, nafikiri yeye ni mojawapo wa wanaotaka kugombania urais.
CC: kadoda11

<strong>
 
Last edited by a moderator:

Humjui huyu mama mpigaji tu. Na ikiisha hii ya Escrow tutafungua jalada jipya la wizi wake.
 
Huyu mama lazima amechezewa game, wamemchongea mama wa watu huyu, she was the second highest ranking African woman in the UN system. Very learned and has achieved a lot in promoting water, sanitation and slum upgrading globally. She was the first African woman elected by the UN General Assembly as Under-Secretary-General of a United Nations programme.

A very brilliant and elegant woman, a role model of the highest level. Sasa naona wanasema ametafuna bilioni 1.6 Tshs kwenye kashfa. Haya mambo yaangaliwe vizuri kwa utaratibu, nafikiri yeye ni mojawapo wa wanaotaka kugombania urais.
CC: kadoda11
stooping so low unfortunately sisi watanzania hatuangalii past bali umefanya nini sasa! Kiufupi anarudi nyumbani :A S-rap:
 
Until she releases press statement and explain how she was implicated, we will never believe this. She is above these kinds of things, Anne Tibaijuka is a global figure, muache hizo siasa zenu. Lazima kuna kitu hapa. Na sio lazima kila mtu akitajwa inakua ndio ukweli. Uchunguzi ufanywe kwa kina, maana naona hata viongozi wa dini wametajwa, inaumiza akili, kuna watu waliwekwa tu kwenye mtego bila kujua.
 
Mama kavuta Tshs 1.6 billion - and her own words kapokea 'in good faith'.
 
Until she releases press statement and explain how she was implicated, we will never believe this. She is above these kinds of things, Anne Tibaijuka is a global figure, muache hizo siasa zenu. Lazima kuna kitu hapa. Na sio lazima kila mtu akitajwa inakua ndio ukweli. Uchunguzi ufanywe kwa kina, maana naona hata viongozi wa dini wametajwa, inaumiza akili, kuna watu waliwekwa tu kwenye mtego bila kujua.

Kukaa kwenye "mtego bila kujua "ndio huleta mimba mashuleni na watoto wasiopangwa wala kuhitajika, kama tunampa wizara nyeti we unasema "bila kujua" si kuna siku atawauzia Kilimanjaro na Arusha "bila kujua" pia??!!?
 
Hahaha!! chezea wanaume wewe, wanatafuta jinsi utalamba hizo hela bila kuwa na ufahamu ni za wizi, ndio kikilipuka jina lako linatumika kuosha. Wanatoa michango kwenye miradi yako na kanisa halafu jina lako linawekwa tayari.
 
Kama Mmegundua mtoa maada anatokea kenya na nimkenya....anajaribu kumwelezea prof Anna Tibaijuka Kwa jinsi anavyomwelewa yeye katika level za kimataifa.. Haamini Kama Mama Msomi, Mwanamke aliyefanya kazi kubwa pindi alipokuwa UN kuwa anaweza kuhusishwa na kashfa hii..

Mtoa hoja kwa maoni yake anaona Mama Wamemsingizia na kumchafua labda kwa 7bu alitangaza kugombea urais 2015.

Nimemwelewa Sana Huyu Mtoa Maada Toka Kenya, Tusimtukane tafadhari Tuingalie hoja yake hii kwa mapana na marefu..

Mwisho wa kusummarize!!
 
Last edited by a moderator:
until she releases press statement and explain how she was implicated, we will never believe this. She is above these kinds of things, anne tibaijuka is a global figure, muache hizo siasa zenu. Lazima kuna kitu hapa. Na sio lazima kila mtu akitajwa inakua ndio ukweli. Uchunguzi ufanywe kwa kina, maana naona hata viongozi wa dini wametajwa, inaumiza akili, kuna watu waliwekwa tu kwenye mtego bila kujua.

kweli kabisa ndio maana jana zito kasema hajui watu walioingiziwa hela wana uhusiano gani na escrow. Hawa watu wanachafuana tu kisiasa. Kilaini wamemuwekea ili uchaguzi wa 2015 awe kimya asiseme lolote kwa kumuwekea pesa alafu wakamjumlisha na mafisadi. There is conspiracy going on in tanzania.
 
Hahaha!! chezea wanaume wewe, wanatafuta jinsi utalamba hizo hela bila kuwa na ufahamu ni za wizi, ndio kikilipuka jina lako linatumika kuosha. Wanatoa michango kwenye miradi yako na kanisa halafu jina lako linawekwa tayari.

Ndio aende sasa akalambe zaid "jela" kabisaa!!!!
 
kweli kabisa ndio maana jana zito kasema hajui watu walioingiziwa hela wana uhusiano gani na escrow. Hawa watu wanachafuana tu kisiasa. Kilaini wamemuwekea ili uchaguzi wa 2015 awe kimya asiseme lolote kwa kumuwekea pesa alafu wakamjumlisha na mafisadi. There is conspiracy going on in tanzania.

Wanachafuana au wanachafuka kwa matendo yao??!!!
We ukute pesa kwa account yako zaid ya ulizoweka unakaa kimya tu halafu usingizie conspiracy??!!!
 
Huyu mama lazima amechezewa game, wamemchongea mama wa watu huyu, she was the second highest ranking African woman in the UN system. Very learned and has achieved a lot in promoting water, sanitation and slum upgrading globally. She was the first African woman elected by the UN General Assembly as Under-Secretary-General of a United Nations programme.

A very brilliant and elegant woman, a role model of the highest level. Sasa naona wanasema ametafuna bilioni 1.6 Tshs kwenye kashfa. Haya mambo yaangaliwe vizuri kwa utaratibu, nafikiri yeye ni mojawapo wa wanaotaka kugombania urais.
CC: kadoda11

ukisha ingia ccm akili zote zina hama.
 
Tafuta hotuba ya kambi ya upinzani bajeti ya 2013/2014 uone alivyojimilikisha ma-hectre ya ardhi, wewe unatetea uozo
 
Until she releases press statement and explain how she was implicated, we will never believe this. She is above these kinds of things, Anne Tibaijuka is a global figure, muache hizo siasa zenu. Lazima kuna kitu hapa. Na sio lazima kila mtu akitajwa inakua ndio ukweli. Uchunguzi ufanywe kwa kina, maana naona hata viongozi wa dini wametajwa, inaumiza akili, kuna watu waliwekwa tu kwenye mtego bila kujua.
She already admitted that she received a billion shillings and thought it was just a token. Dont you watch parliament sessions? It was like listening to a kid explaining herself!
 
Until she releases press statement and explain how she was implicated, we will never believe this. She is above these kinds of things, Anne Tibaijuka is a global figure, muache hizo siasa zenu. Lazima kuna kitu hapa. Na sio lazima kila mtu akitajwa inakua ndio ukweli. Uchunguzi ufanywe kwa kina, maana naona hata viongozi wa dini wametajwa, inaumiza akili, kuna watu waliwekwa tu kwenye mtego bila kujua.

Acha hizo, she has already admitted openly that 1.6 Billion was given to her by Bw. Rugemalira.
 
Kama Mmegundua mtoa maada anatokea kenya na nimkenya....anajaribu kumwelezea prof Anna Tibaijuka Kwa jinsi anavyomwelewa yeye katika level za kimataifa.. Haamini Kama Mama Msomi, Mwanamke aliyefanya kazi kubwa pindi alipokuwa UN kuwa anaweza kuhusishwa na kashfa hii..

Mtoa hoja kwa maoni yake anaona Mama Wamemsingizia na kumchafua labda kwa 7bu alitangaza kugombea urais 2015.

Nimemwelewa Sana Huyu Mtoa Maada Toka Kenya, Tusimtukane tafadhari Tuingalie hoja yake hii kwa mapana na marefu..

Mwisho wa kusummarize!!
so na wawe unataka kusema hajavuta na ile account yake iliyowekwa wazi? ama kuna Anna Kajumulo Tibaijuka mwingine? she was given US$ 1 mln Taslim
 
Until she releases press statement and explain how she was implicated, we will never believe this. She is above these kinds of things, Anne Tibaijuka is a global figure, muache hizo siasa zenu. Lazima kuna kitu hapa. Na sio lazima kila mtu akitajwa inakua ndio ukweli. Uchunguzi ufanywe kwa kina, maana naona hata viongozi wa dini wametajwa, inaumiza akili, kuna watu waliwekwa tu kwenye mtego bila kujua.

Sasa pressure ya nini? Yeye mwenyewe alikodisha chopa kaenda jimboni kwake na akasema ni kweli Ruge alimpatia vijisenti 1.6b.
PCCB walipo mhoji kakiri pia alipokea hiyo hela kwa ajili ya kuendeleza shule yake, japo hakumuomba. PCCB walipo kagua accoubnt ya shule hiyo hela haipo.
Mambo ya Global figure ni wewe unasema. Tabia ya mtu haina figure. Mwizi ni mwizi hana sifa nyingine.
 
Back
Top Bottom