Rais wa Jamhuri yetu ni mwakilishi wetu na kioo chetu nje ya nchi. popote anapokuwa nje ya nchi maana yake kuna watanzania milioni 40 nyuma yake. Si vizuri hata kidogo kunyamaza kimya pale Rais wetu anapofedheheshwa nje ya mipaka yetu. Ni lazima tusimame pamoja kumlinda bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kielimu. Hata kama ni mbovu bado haitoi haki kwa mtu yeyote nje ya mipaka kumdhalilisha ilhali tukiangalia bila kuchukua hatua.
NAWASILISHA Kwa maandalizi ya mpango mkakati wa kumlinda JK!!

Who cares about him? kwani yeye anatujali au anaijali nchi yetu? I don't care whatever they do to him, as longer my country is safe. Who is Kikwete here in Tanzania? Mimi namuona kama ni Mwizi wa rasilimali zetu na mkukwapuaji wa Kodi zetu. Mwaache azalilishe kwani tayari ameshalidhalilisha Taifa letu na Watanzania wote kwa maneno yake ya kipuuzi. Kwa sisi mvua mpaka tumtetee?
Rais wa Jamhuri yetu ni mwakilishi wetu na kioo chetu nje ya nchi. popote anapokuwa nje ya nchi maana yake kuna watanzania milioni 40 nyuma yake. Si vizuri hata kidogo kunyamaza kimya pale Rais wetu anapofedheheshwa nje ya mipaka yetu. Ni lazima tusimame pamoja kumlinda bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kielimu. Hata kama ni mbovu bado haitoi haki kwa mtu yeyote nje ya mipaka kumdhalilisha ilhali tukiangalia bila kuchukua hatua.
NAWASILISHA Kwa maandalizi ya mpango mkakati wa kumlinda JK!!
Hata akipigwa vibao huko hatujali, tena asiporudi kabisa itakuwa furaha kwetu Watanzania.
You are such a fool!!
You are such a fool!!
Papa D, Much appreciation SiR!!
What did you real wanted us to know out of what you posted?
Is there any problem somewhere with our Prez? And what is?
wewe ni wakwanza kuropoka na zani niwakwanza pia kusukuma magari ya wale unaowakashifu.....who cares about him? Kwani yeye anatujali au anaijali nchi yetu? I don't care whatever they do to him, as longer my country is safe. Who is kikwete here in tanzania? Mimi namuona kama ni mwizi wa rasilimali zetu na mkukwapuaji wa kodi zetu. Mwaache azalilishe kwani tayari ameshalidhalilisha taifa letu na watanzania wote kwa maneno yake ya kipuuzi. Kwa sisi mvua mpaka tumtetee?
.....tatizo la nchi hii ni kwamba hatuna mfumo madhubuti wa kutupatia rais inteligent kama nchi za magharibi zinavyofanya, sisi imekuwa tu huyu ni mwenzetu, mpole, kijana, chaguo la Mungu ama unaweza vipi fitina ndani na nje ya chama chako,, huu ndio msingi wa tatizo, tunatoa marais wenye uwezo mdogo (sio wote) kufikiri na kupambanua mambo, wanatoa majibu mepesi kwa maswali magumu, hapa sikuachi bila mfano.....Mkuu wa kaya anaulizwa kuhusu matatizo ya umeme na maji Mtera anajibu "Ningekuwa mvua ningenyesha nijaze mabwawa"......watu wakichambua huwezi kusema amedhalilishwa hapa ila ni kinyume chake. Halafu sio lazima kupost unaweza ukabaki kusoma post za wenzio hoja za namna hii zisizokuwa na mashiko msituletee.Rais wa Jamhuri yetu ni mwakilishi wetu na kioo chetu nje ya nchi. popote anapokuwa nje ya nchi maana yake kuna watanzania milioni 40 nyuma yake. Si vizuri hata kidogo kunyamaza kimya pale Rais wetu anapofedheheshwa nje ya mipaka yetu. Ni lazima tusimame pamoja kumlinda bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kielimu. Hata kama ni mbovu bado haitoi haki kwa mtu yeyote nje ya mipaka kumdhalilisha ilhali tukiangalia bila kuchukua hatua.
NAWASILISHA Kwa maandalizi ya mpango mkakati wa kumlinda JK!!
sijui hii ni bhangi,utoto ama ulimbukeni wa kishamba.
What exactly do you want to protect? An individual or the presidency? This is about what people feel about the person. Si kitu cha kupigia kampeni kama unavyofanya wewe.
amedhalilishwa na nani, weka mambo wazi, kama ameitwa fisadi pia twambie