MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Aksante Kongosho. I think you are right mydia but nini hasa kinachotufanya tuumie jamani? Kwa nini akili inagoma kukubaliana na hali halisi? Au ndio zile hisia za ...'amenichezea hisia zangu za mapenzi' zinakuwa zimetawala?Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.
Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
Ni ngumu sana kuachana bila maumivu, kwa sababu kwenye mapenzi kuna mmoja anaweza kupenda na mwingine hasipende kweli, sasa ina pokuja swala la kuachana lazima mmoja ata umia.
Wewe unaweza ukasema unaachana na mtu kwa amani lakin yeye ana umia moyoni.
Mwisho wa siku lazima mmoja abaki na donda.
mwanajamiione
moyo unanienda mbio.... tafadhali nipigie
Kinadharia ni rahisi sana lakini kivitendo inakuwa ngumu.
Kuachana kwa kweli hakuna mjuzi, ni kadiri roho atakavyokuongoza kwa wanaoamini na kwa wengine ni kadiri ya 'power' ya akili yako kukubali kushindwa kwa mahusiano hayo.
'failure management'
Naomba nisichangie hii thread
Nini kimekusibu MJ1?Platozoom, vipi best? changia tu bwana huwezijua unawezajikuta unafunguliwa mlango mwepesi mpenzi.
Sijui kwa nini kuna kitu ndani yangu kinanifanya niamini kuwa kukubali kulet it go, pamoja na maumivu yake ina bidi uyapake sukari maumivu hayo na kuyachukulia positive (Kuwa pamoja na kuwa imefikia ukingoni, I had my share of happiness ambayo nisingeiexperience kama sikukutana na huyu mwenzi wangu!).
Hata hivyo nakiri kuwa thread hii inaweza kutokuwa applicable kwa wanandoa kwa sababu hii ni another level of mahusiano. Lets stick to mahusiano ya u-boyfriend na ugirlfriend au uchumba.
Mmmh kuachana na mpenzi wako kwa bashasha huku ukikenua meno kwa furaha ni ndoto asee! Labda kama hukumpenda lakini hata kama hukumpenda kwa dhati lazima kuna baadhi ya vitu vilikua vinakuvutia kwake!ni ngumu sana kutokua na kinyongo..
Hivi ni kweli kwamba aliyeachwa ndo ataumia, mi nilidhani kwamba wote wawili mtakuwa na maumivu isipokuwa tu yanatofautiana extent
Msichana wangu wa kwanza sikkuamini kua angeweza kuondoka na kwamba tusionane tena mmmh iliniuma sana na wala sikuweza kuamini kuwa anaweza kulala na me mwingine. power of letting go