The Power of Card Dance Effect.

The Power of Card Dance Effect.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
Wakuu leo nimekuja na Clip ya sekunde 29 inayo waonyesha Wanasiasa wanao jadiliwa zaidi kupitishwa kuwania Urais mwaka 2015 chini ya Ccm.Lengo langu sio kuhamishia mijadala ya kisiasa ktk jukwaa hili bali kuonyesha uwezo wa Software niliyotumia kubuni Video hii yaani Adobe After Effect kupitia Card Dance Effect.Kwa wale Bigginers,Expert na Fanatics wa Still & Motion Graphics sio wageni wa hii Plug(card dance effect).Ktk kuelekea Uchaguzi wa Wabunge na Raisi mwaka 2015,wenzetu wa jukwaa la siasa huwakilisha mawazo yao kupitia Data na Facts mbalimbali,mimi nitajaribu kufikisha ujumbe/mawazo yangu kupitia sanaa ya Motion Graphics.Images za Wahusika nilizotumia ni kwa msaada wa Google.Watu wangu wa nguvu kama @C6, leh, e2themiza Young Master ndetichia chief-mkwawa na wadau wengine wote karibuni kibarazani kwetu tujadili ki-Tech, Gadgets & Science..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom