Ninajua wengi hamjui, itapendeza sana mkija kujifanyia research.
Huyo ni idi amin, the late legendary president of buganda people. Besides a few presidents like mugabe n gadafi, hawa marais walisimama juu ya kauli yao. Waliwapa waganda heshima na kuvunja mizizi yooote ya ukoloni ndani ya nchi zao.
Mugabe aliwafukuza wazungu wooooote kwenye nchi yake baada ya kujidhihirishia kuwa uwepo wao ni hasara kuliko faida.
Gadafi alisimama yeye kama yeye na kuvunja njama zoooote za kikoloni. Alifanikiwa kuondoa shida zote za kikoloni ndani ya nchi yake na kuitajirisha nchi yake kutokana na neema ya mafuta waliyojariwa na mungu. Huyu jamaa aliwachukia sana wazungu kwa ulaghai wao, hadi kufikiria kuzikomboa nchi zote za kiafrica kutokana na ufedhuli wa kizungu. Alinuwia kutengeneza shilingi ya kiafrica(ya dhahabu), ambayo ingetumiwa kibiashara na nchi zote za kiafrica badala ya dola. Pia Alinuwia kutengeneza benki ya maendeleo ya africa ambayo angezikopesha nchi za kiafrica pesa ili kutekepeza miradi yao, kwa nia ya kuziwezesha nchi kusimamia miradi yake yotee ya maliasili na kuvunja tabia za wazungu kuifadhili miradi yetu ili kutuibia.
Umoja wa nchi za kibepari uliiona hatari ya africa kujitegemea kwa 100%, ikaamuwa kutekeleza mauaji ya gadafi *assassination.
Kama mwamba angefanikiwa, nchi za kiafrica zingeanza kujitegemea bila msaada wowote. Tukizingatia nchi zetu zina utajiri mkubwa sana wa maliasili kama misitu, madini, gesi, mafuta, ardhi yenye rutuba..., mzungu kupata maliasili zetu ingewabidi wagharamikie kwa kununua. Dola ingeacha kuzunguka duniani. Wazungu wangeanza kutuletea pesa zao. Wasingekuwa na uwezo wa kutuibia tena. Hizi sababu ndio zilisababisha kupanga mauaji yake.
Mwisho ila muhimu zaidi, ni huyu mwamba idi amin. Kwa washenzi wanaopenda kutukuza historia bila ya kudadisi uhalisia, kwao huyu ni raisi dikteta, mwenye roho mbaya kama ubaya wenyewe. Ila tukirudi kwenye uhalisia, huyu alikuwa kati ya maraisi wazalendo zaidi. Aliipenda nchi yake hadi kusababisha kufanya vitendo ambavyo vilimgharimu mwisho. Kati ya kitu alichokifanya kilichomharibia zaidi, ni kuwafukuza Jews wotee kutoka Uganda. Kwa niliyoyaona, yasoma n kuyasikia ndani ya uhai wangu, ni kuwa hakuna taifa la watu wenye roho mbaya, ubaguzi n kila aina ya chuki kama jews(isralites.) Baada ya kuwafukuza kutoka Uganda, wazungu kwa pamoja waliungana kulichafua jina la idi amin kadri ya uwezo wao n walifanikiwa to perfection. Ndio maana, watu leo hawajui hata jambo moja la idi amin ila mabaya yotee hazi ya kusingiziwa wanayajua.
Ila kwangu hao walikuwa very patriotic. Ijapokuwa sio muafrica, ila sadam hussein pia alikuwa mzalendo n alinyongwa kwa ufitnishaji wa wazungu. Mwisho, kwa bahati mbaya jiwe anahusika kwenye huu uzi, ni vile tu hakupata muda mrefu sana kudhihirisha personality yake zaidi.