"The Party Must Serve the People":An Unpublished Speech By J. K. Nyerere

Lakini leo hii tunachokiona CCM ni kana kwamba wamegeuza juu chini usemi mzima na kuibadilisha kuwa: 'The Tanzanian People MUST The Political Party CCM na hasa KAMA MTU ANATAKA MAMBO YAMNYOOKEE kimaisha.'

Ufedhuli mtupu, hakuna kiyu hapa!!!!!!!!
 
Nafikiri basic needs kwa nyerere haikumaanisha tu chakula na malazi. Ilijuisha mambo mengine pia kama elimu na afya. Na ndio sababu haya akayapigania yatolewe bure kwa serikali kujitwisha jukumu hilo. Lakini leo serikali na chama tawala wanajivua majukumu haya na kusema ni jukumu la wazazi. Conclusion yangu kwa nyakati zetu ni kuwa: The party does not serve the people but a very small group of elites.
 
Back
Top Bottom