nina aleji na kiinglish tatzo... Nyani Ngabu nikalimanie.
Nachaji jero kwa kila neno ntakalolitafsiri.
we hamisi jero £? au €? au $? au ¥?
We Mwajuma kwani unajua nini kuhusu yuro na dola wewe? Umeyaandika hayo maalama utadhani unashika yuro kila siku kumbe hata kuiona hujawahi...kwenda zako huko.
Imenikumbusha mama yangu....no one knws how much i loved and still love her(only God)....its been years bt still am tht mommy's little girl.