The other side of Jeetu Patel


Nimeipenda hiyo coz umeweka wazi kuwa huo ni mtazamo wako tu
 
Jimmy hiyo sio research, watu watakucheka sana hapa jamvini kwasababu maelezo yako yamebase upande mmoja wa akina Jeetu.Being chamming is not a problem, mbona kikwete yuko so chamming anaongea na watu mbalimbali mf viwete nk kila wakati anatoa tabasamu balaaaaaaa.Tuangalie hao chamming wanalisaidia nini taifa hili

Kuna tread iliwekwa hapa jamvini Jeetu anamjengea Mkuu wa kaya Hekalu la kutisha kama zawadi hivyo vyote vinatoka wapi.......
 
ina maana LADWA wa golden tulip ndie mbaya wake?
 

Kwahiyo wewe unasapoti wahindi waendelee kutuibia kisailensa au?Heri hao waliotapanya tukajua na huo wizi kwamba upo.
Wahindi ni watu wabaya sana ukiondoa wachache kama akina Shivji na Sabodo. Wanatubagua na pesa wanaiba na kuzipela nje ya nchi. Fikiria unamkuta Mhindi amekaa Tz zaidi ya miaka 40, halafu hajuwi kuongea kiswahili hivi ni mtanzania kweli huyo? Ni dharau ya hali ya juu sana hiyo.
 
I would advise you to write in Kiswahili. I do not think this is English, ........it is a bunch of words connected to form no meaning at all.....
 
mimi wasi wasi wangu ni namna walivyokutana mahakamani mpaka akumelezea yote hayo, maana ni vigumu mtu kukutana naye kwa mara ya kwanza na ya pili halafu akaelezea stori hiyo ni ngumu,
Halafu Jimmy B alionekanaje mahakamani mpaka jeetu alivyokutana mara ya pili akamuuliza kama noi newsman kwa nini asikuulize kitu kingine hii ni stori ya kutengeza.
anyway lakini jeetu patel kweli anaweza kuwa ni kind hiyo ni asili ya mtu wala haina uhusiano na uwizi
 
Jimmy who are you? Au hizo stationary amekupa patel?
 
I would advise you to write in Kiswahili. I do not think this is English, ........it is a bunch of words connected to form no meaning at all.....

Hiki ni kizungu mkuu.Makosa nimeyaona manne tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…