The Other Half (Simulizi)

Nina ombi moja kama utapata muda tupe makala juu ya kifo cha Robert Ouko waziri wa mambo ya nje wa Kenya wakati wa Rais Moi
 
EPISODE 21 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

AU

Tazama juu kabisa upande wa kuna kitufe cha
(search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

AU

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
 
EPISODE 22 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

AU

Tazama juu kabisa upande wa kulia kuna kitufe cha
(search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

AU

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
 
Asante Niko updates balaaa hizi picha ni shida yaani zinaendana na story ombi langu bado liko pale vitabu na film script utajiri unao kichwani mwako
 
Pamoja sana mkuu!

Inshallah tuombe Mungu tufike mbali zaidi..
 
EPISODE 23 IKO HEWANI TAYARI.... TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ILI KUISOMA...

kuisoma kwa urahisi, nenda chini kabisa kwenye Categories kisha chagua "SHORT STORIES"...

Tazama juu kabisa upande wa kulia kuna kitufe cha
(search) andika chaguo lako, mfano " The other half Episode 21"... Kisha search..

Upande wa juu kushoto kuna vimistari vinne, bofya hapo utapata Mennu na kisha chagua "short stories".
 
heshima kwako mkuu.ila hiyo picha na huu muda
daaah jinamizi lileeeee
 
Dah mkuu unataka nisilale nini
 
Maana Mimi ninakuwa na alosto, hivi salim na wenzake wataweza kuufungua kweli huo mlango? Na je mchoro wa George Washington wataupata?
 
Mkuu nakushuru tena kwa story hii safi sana sina zaidi ya kusema asante sana hila naomba mawazo yangu yafanyie kazi vitabu film script
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…