Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,080
- 136,544
Huyu Miller tatu zimemkubali kinoma, ngoja Battier aanzishe moto nae.
Kocha wa OKC kawa Wenger , hana plan B
Mimi nilisema tokea game 2 kwamba series ikihamia Miami hao OKC wanafagiliwa....na leo wanafagiliwa na Miami wanabeba ubingwa.