The Official Azam FC Thread

hapa ni kocha msaidizi Kali Ongala
Akizungumza na tovuti ya Azam FC, kocha msaidizi wa Azam FC kalimangonga Rampling Daniel Ongala AVB amesema kwa maandalizi waliyoyafanya ana uhakika wa kuibuka na ushindi na kujiweka katika mazingira bora ya kuwania taji la VPL msimu huu.
 
mpaka mpira umekwisha JKT Oljoro 1 - 1 Azam FC..

lawama kibao kwa refa..
 
leo baada ya kukutana na simba sc matokeo ya mechi ni draw tasa ya hakuna aliyeona lango la mwenzake..

Azam FC 0 - 0 Simba
Venue: U/Taifa
 
jana tumeshinda gemu yetu dhidi ya villa squad mabao mawili kwa nunge..
 
kipre aonesha njonjo zake na huku bocco akishikilia uskani wa magoli VPL kwa habari zaidi gonga hapa
 
mpaka sasa ni dk 40 kipindi cha kwanza azam fc 1 - 0 yanga..
 
mpira umeisha na bocco katuweka kifua mbele hala la azam fc..
 
hapa naona mkali wa azam fc Bocco akifanya mambo
viali%201.jpg
 
[h=1]Azam yasogea kileleni, Yaichapa Coastal Union 1-0[/h]h

hapa ni mkwakwani stadium, Tanga
arusha_1.jpg
 
kikosi cha Azam FC ni
mwadini
Erasto waziri moradi Aggrey
mwaipopo Jabir redondo Bocco
Ngasa sure boy
 
Matokeo bado 0-0. Azam FC inacheza vizuri sana na kutawala mchezo
 
Kipa wa Ruvu kapanch redondo kafunga kobendela kasema offside, dk 2 baadaye Ngasa kaangushwa ndani ya 18 refa kapeta kituko cha mwaka kikaja wakati wachezaji wa3 wa Ruvu walikuwa offside refa kapeta lakini Kama kawa mwadini akaokoa magoli bado 0-0
 
goli la pili tena refa kasema offside..ila hapa lazima ushindi
 
Back
Top Bottom