T Tajiri Mtoto JF-Expert Member Joined Feb 12, 2009 Posts 223 Reaction score 593 Nov 1, 2013 #1 Kwa wale wapenzi wa movies... any idea wapi naweza kupata movie hii?
K Kintiku JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 617 Reaction score 322 Nov 1, 2013 #2 Tajiri Mtoto said: Kwa wale wapenzi wa movies... any idea wapi naweza kupata movie hii? Click to expand... Mwenyewe naisaka kitambo sana. Nilikuwa na VHS zamani sana. Natamani nione na kusikia ile ''mizee'' ya kijerumani ikiimba wimbo fulani hivi kwa mpangilio mzuri sana wa sauti
Tajiri Mtoto said: Kwa wale wapenzi wa movies... any idea wapi naweza kupata movie hii? Click to expand... Mwenyewe naisaka kitambo sana. Nilikuwa na VHS zamani sana. Natamani nione na kusikia ile ''mizee'' ya kijerumani ikiimba wimbo fulani hivi kwa mpangilio mzuri sana wa sauti