The Nokia iPhone 5 Killer Phone Has Arrived!

many apps have already been developed for meeGo,cause nokia were giving free nokia n950 for apps creating to developers.
 
The smartphone game is far from over. Kushuka kimapato? Nokia ndio wa kwanza? Wangapi walianguka na wakasimama?
 
and also n9 can run android apps.so I don't think apps is a problem
 
<br />
<br />
Mkuu unasema kweli tupu, Nokia ni moto wa kuotea mbali. Sasa hivi inawezekana mauzo yakawa yameshuka kidogo kutokana na CEO wao kukosa ubunifu au kupoteza muda kwenye research and Dev. hisiyo na tija. Nina hakika wakijipanga upya hutasikia tena mambo ya mahajabu ya sijuhi Iphone(series?). Nokia wakizinduka usingizini Mr.Jobs atapata wakati mgumu na Iphone zake! Mark my WORD.
 
GOD bless you nokia believers! RedSilverDog na Mtazamaji mnaona bwana!
 
bado hayo yote mi nasubiri washushe bei ndo ntajua kipi bora.. kikubwa zaidi nokia huwa wanashuka sana kuliko apple niwabisha balaa.
 
Mi nachowapendea apple you gonna change the latest version of ios watever you lyk je nokia wana kitu kama hicho kweli?i don think so.
 
the symbian os sucks afu kaka unakosea kufanisha iphone 4 na hiyo n9 ambayo unasema inatoka kumbuka kuwa iphone 4 ishakaa for for long on the ningependa ufanishe hiyo N9 yako na iphone 5 ambayo inahit the market this september...!twende mbele turudi nyuma apple can kick microsoft,nokia,sony,samsung butt anytime of the day.........!
 
The Nokia iPhone 5 Killer Phone Has Arrived!


If you’ll ask us, this is the first real Nokia smartphone that’s similar with the image and likeness of Android and iPhone
Kama ina "likeness of Android and IPhone," haiwezi kuwa "iPhone Killer." Unatuchanganyia habari.
 
Tatizo la HTC kaka ni setting zake, haiwezi kukumbuka hat a time zones within Tanzania! Unafanya setting Kilauea ukimove from say Dar to Sirali au Kigoma! Email downloading also is problematic. Honestly speaking nimewakubali sana jamaa wa Mac na full sync yao ya iCloud.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…