THE NEXT iPHONE RECOVERED! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

THE NEXT iPHONE RECOVERED!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Amoeba, Apr 20, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ile simu kali aina ya iPHONE aliyopoteza kijana mdogo injinia wa apple Powel imerudishwa Apple baada ya kuokotwa katika bar ailiyokuwa akilamba lager kijana huyo. Simu hiyo ambayo ilikuwa bado katiika majaribio inasadikika kuwa itakuwa kiboko kingine kutoka Apple-mabingwa wa elektroniki wanaoendelea kutesa mitaani ni kifaa chao hatari cha iPAD! Simu hiyo iliripotishwa katika mtandao maarufu wa gizmodo, nao walimaindi apple waandike barua rasmi ya kuiomba simu hiyo, mzee mzima Bruce alifanya hivyo, na hivyo kuwahakikishia wananchi kuwa hicho kifaa walichokizindua kabla ya muda kuwa ni next iphone haswaa. Haijajulikana mpaka sasa kama Mzee mzima Steve atamuadabisha dogo huyo kwa uzmembe ama la. Kituko hiki kimekuja siku chache baada ya picha za smartphone ijayo kutoka dell kulick mtandaoni kutokea China.

  chanzo: gizmodo
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wapi picha?
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kitu kipya wanachotarajia kuachia iphone ni 4g ambayo nikali kinoma
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  4g,5g,6g,7g,8g,100 g,yote biashara tu,wajinga wanatobolewa mifuko yao kwa kwenda mbele,i have mine,3gs is more than enough
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  sielewi kwa nn Iphne ina publicity sana. nadhani wana wataalamu wazuri sana wa marketting. Hata hii story ya dogo kupoteza future iphone inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuwaweka wateja sawa.

  Lakini techincally and features ukilinganisha Iphone na simu nyenza kama Nokia E71, HTC, Blackberry bold utaona Iphone inazidiwa vitu vya msingi au iko sawa na hizi nyingine.

  Mfano wa features ni kama FM radio, Camera resolution , signal rececption kwenye majengo marefu au sehemu zisizo na mawasiliano mazuri , Taking time, Standby time nk.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  500x_comp8.jpg
   
Loading...